mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli jamaa huyu ni watofauti kuliko alivyotuaminishaNaanza kupata picha wewe ni mtu wa aina gani .
Ana nyota bukuKumbe bangi ni mtu mwenye mamlaka!!!
End of the quote. Period....... uko vizuri"When it comes to being Rasta, I say if 'Rasta' means smoking ganja and . . . going around shouting 'Jah Rastafari!', then I am not Rasta. But if it means fighting for justice, fighting for togetherness, the oneness, the love and brotherhood, then yes, I am Rasta."
Lucky Dube
Ana nyota buku
Bangi za Gado (Msumbiji) si za mchezoBangi mbaya sana
Kama bangi zinawatuma kufanya ibada ni bangi nzuri
Okuchawi ndio mbaya.
na wachawi ndio kabisaa.
Huyu sidhani kama ni muumini wa dini hiyo, nadhani anafuga rasta kama fashion tuWapole kama afande Sele.
Huyu sidhani kama ni mfuasi wa dini ya rastafarai , huyu anazifuga kwa mbwembwe tuSio kwa Afande sele lakini
Hii comment naona imezua mtafaruku sana..Mshana Jr siku hizi nakufuatilia kwa karibu sana vijana wanasema kuzoom! Ni kwa lengo zuri tu, najifunza kama upeo mkubwa(exposure), elimu nzuri nk. Vinaweza kufanya mtu aweze kithibiti hisia (emotions) zake!
Sijawahi wala kuwaza kukuchukia mkuu, huwa nachukia baadhi ya michango yako tu kitu ambacho ni cha kawaida kwani huwezi kuwafurahisha watu wote...Hii comment naona imezua mtafaruku sana..
BTW ninj kimekubadili mtazamo? Cause you were among the haters[emoji848] wa Jr...!!!
Sijaelewa kitubadala ya jina la Yohana badaya ya John kama ambavyo linavyoandikwa.
Nimecheka sana mkuu,Bangi mbaya sana