Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

Mshana Jr kasema bangi mbaya, hajasema mbaya kwa nani? Hajasema mbaya kivipi, labda shina lake yeye ndio analiona baya? Labda ni mbaya kwa udongo wa mfinyanzi?
Kaacha wigo mpana wa kuujua ubaya wa bangi.
Tusiendeshwe na mihemko
Na we bangi ikakutuma uone kama ni mihemko?
 
Sio kweli,na usipoteshe umma kwa uongo.
Kila kitu kina ubaya wake kutokana na matumizi yake hata maji ya kunywa ukinywa ndivyo sivyo yana athari.
Ukisifia Konyagi/K-Vant unaona ujanja ila Mmea unaukandia.
Nina ifahamu bangi kindakindaki kwa kuitumia, kuisomea hata kuifanyia majaribio mbali mbali, nina mada zaidi mbili hapa nikiisifia kwa faida na nikieleza madhara yake kwa hasara

Sio kweli,na usipoteshe umma kwa uongo.
Kila kitu kina ubaya wake kutokana na matumizi yake hata maji ya kunywa ukinywa ndivyo sivyo yana athari.
Ukisifia Konyagi/K-Vant unaona ujanja ila Mmea unaukandia.
 
Sio kweli,na usipoteshe umma kwa uongo.
Kila kitu kina ubaya wake kutokana na matumizi yake hata maji ya kunywa ukinywa ndivyo sivyo yana athari.
Ukisifia Konyagi/K-Vant unaona ujanja ila Mmea unaukandia.
 
Kama bangi zinawatuma kufanya ibada ni bangi nzuri
 
Wametumia ubani gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…