Rastafarians wamfanyia ibada Hayati Dkt. John Magufuli

Sijawahi wala kuwaza kukuchukia mkuu, huwa nachukia baadhi ya michango yako tu kitu ambacho ni cha kawaida kwani huwezi kuwafurahisha watu wote...
View attachment 1737580
Natambua hilo tatizo sio kutokukubaliana nami tatizo ni namna ya upingaji uliojaa kejeli, na sometimes matusi na kashfa.. Nadhani tunapingana kwa hoja ndio njia sahihi ya kuwa great thinkers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…