Late?Kwenye hili hatutovumiliana, meenda kusoma na mmepata elimu inakuaje? Sasa mpo mitaani miaka inaenda tu
Mmeshindwa kujiajiri?
Taifa haliwezi kuajiri watu wengi kiasi hicho
Mnatakiwa mjiajiri wenyewe au waje wahindi na waarabu waje wawaajiri
Mnatia haibu kazi kukaa mitandaoni kutapeli watu na elimu zenu zushi za IT
Jifunzenu hata kuanzisha vikampuni muipige kampan serikali!!!
Shiiit
View attachment 2674522
+lateMnatia haibu kazi kukaa mitandaoni kutapeli watu na elimu zenu zushi za IT
Yaani inakuwa haina mantiki.Umemsikia wapi Marehemu ya chuo, huyo alitaka amaanishe rate ya wanachuo, yaani idadi yao.
Wewe kubali tu kuwa umekosea bro.Ukweli mtafute ajira au mjiajiri hakuna kosa lolote hapo
Haibu=aibuMnatia haibu kazi kukaa mitandaoni kutapeli watu na elimu zenu zushi za IT
Wewe mbona unahasira na hustle za watu wengine?Kazi yenu ni hiyo tu mliokalia town; subirini mgeuzwe
Hiyo inakuonesha level yako ya elimu.Mimi sio mswahili
Wewe unajuaje kuwa wote wanaomaliza kusoma chuo wakakosa ajira huwa hawajishughulishi!?Mmejazana sanaa tatzo; mpo zaidi ya ml-30 nusu ya wanach wa tanzania mpo tu hamjishughulishi wala nn? Hili ndio litakuwa taifa gani? Sasa
Hiyo inakuonesha level yako ya elimu.
Kujua kiswahili fasaha ni jambo la elimu ya kawaida tu kuhusu lugha ya kiswahili.
Kwanini unawalaumu wanachuo waliomaliza kusoma wakakosa ajira!?
Kwani wote ambao hawajasoma wanakazi na maisha ya kueleweka!?
Unavyocomment ni kama umeshapigwa na kitu kizito...Mnatakiwa mjiajiri mmetia hasara wazazi wenu na taifa kiujumla hauwezi kuwa tangu umalize chuo huu mwaka wa 10 upo tu ... haueleweki