Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

Unavyocomment ni kama umeshapigwa na kitu kizito...

Hakuna kitu kama icho, wanatia huruma mitaani na wana elimu sasa asiyekuwa na elimu afanyaje! Sasa
 
We nyau ukishiba ugali wa shemeji Yako ndo huwa unaongea mashudu Hivi? Yaani kama unatafutia watu ban sawa lakini unajua mangapi tunapitia we mbwa wewe? Watu tumehangaika mpaka udalali unaongea vinini we dogo? Nimekustahi tu next time nakutukana.
 
Kaka umesomea nini? ningependa kujua please
 
Ipitishwe sheria mtu aliyeajiriwa na serikali haijalishi raisi au waziri afanye kazi miaka 5 tu kwasababu amepata mtaji aende akajiajiri.
Siyo umeajiariwa miaka 10 halafu unakuja kuwapigia watu kelele humu. Kuna wafanyakazi wa TRA baada ya kustaafu kwa kufanya kazi miaka 50, walifungua maduka kariakoo, matokeo yake walifunga biashara zao. Wanapofanya makadirio ya kodi huona biashara rahisi sana.
 
Aliyesomea ugavi, anaweza kujiajiri, kukusanya mazao vijijini na kuuza, au kufanya biashara ya kubadilishana vitu na mazao, Aliye somea math, anaweza kuanzisha twisheni wazazi wengi wanapenda watoto wao wasome na wajue hesabu.
 
Ningekuona wa maana ,kama ungesema waweke utaratibu wa mtu kufanya kazi Miaka 10,then unapisha wenzio.
Hakuna anayependa, kukaa nyumbani tuu bure bure.Kazi ziwe za mkataba Kwa miaka 10 .
 
Aliyesomea ugavi, anaweza kujiajiri, kukusanya mazao vijijini na kuuza, au kufanya biashara ya kubadilishana vitu na mazao, Aliye somea math, anaweza kuanzisha twisheni wazazi wengi wanapenda watoto wao wasome na wajue hesabu.
iyo ya kukusanya mazao vijijini ushawahi kuifanya?
 
Aisee kumbe nchini kwetu Kuna vijana wa hovyo kiasi hicho duuh tunasafari ndefu sana. Duhh sidhani kama Kuna kijana mwenye mawazo mgando kukuzidi wewe ndio T.o wao aisee
 
We nyau ukishiba ugali wa shemeji Yako ndo huwa unaongea mashudu Hivi? Yaani kama unatafutia watu ban sawa lakini unajua mangapi tunapitia we mbwa wewe? Watu tumehangaika mpaka udalali unaongea vinini we dogo? Nimekustahi tu next time nakutukana.

Jiwe gizani limeibuamo majitu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜πŸ˜„πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜
 
Serikali pia inabidi ilegeze masharti ya kutoa passport vijana wetu waweze kutoka nje kirahisi na kwenda kutafuta maisha huko. Kuwarundika tu hapa ndani wakati ajira hakuna kuna faida gani? Kuna fursa huko nje Watanzania zinatupita kwa sababu ya ukiritimba tu na mambo ya ajabu ajabu yasiyo na maana. Hakuna sababu ni kwa nini kijana wa Kitanzania aliyesomea Kiswahili, kwa mfano, aendeshe bodaboda wakati Kiswahili sasa hivi ni hotcake dunia nzima na Wakenya ndiyo wanatamba huko nje sisi tupo tu pamoja na kwamba ndiyo tunaongea Kiswahili fasaha kabisa!

Wafungue mipaka. Vijana watoke nje wakapate exposure kuhusu dunia inavyokwenda. Waibe na teknolojia huko wakiweza. Waende wakapige boksi huko na maisha yaende. Rwanda, kama sikosei, diaspora wanatambuliwa kama mkoa wa sita kiutawala na wanachangia asilimia ya kueleweka katika pato la taifa kupitia home remittances. Hakuna sababu Tanzania iwe ya mwisho kwa kuwa na diaspora wachache zaidi katika nchi za ukanda huu wa Afrika.

Yaani sisi karibu kila kitu kigumu sijui kwa nini 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…