Rate ya wanachuo mtaani ni kubwa, Wazungu njooni mtuajiri

Waliojijiri kwenye utaperi wa tuma kwenye namba hii vipi hao mkuu!
 
Washitakiwe tena? kwa nini tusianze na hawa walioajiriwa na wana zaidi ya miaka 10 kazini na wameshindwa kujiajiri ingawa tayari wana mitaji?
 
Aliyesomea ugavi, anaweza kujiajiri, kukusanya mazao vijijini na kuuza, au kufanya biashara ya kubadilishana vitu na mazao, Aliye somea math, anaweza kuanzisha twisheni wazazi wengi wanapenda watoto wao wasome na wajue hesabu.

Unaenda chuo kusomea ujinga
 
Yaani CCM ni wabinafsi Leo hawataki uraia Pacha Kwa sababu za kihuniiiii tu
 
Maboom mliyatumiaje? Ovyoo mlishindwa kuyahifadhi mkajiajiri kupitia kujibana kwa maboom yenu
Ukitunza boom sasa maana yake unakua unakula nini ?
Mnataka wanachuo wasinunue mashati, bando, wasilipe nauli kwenye daladala, wasinunue Tecno na itel bali watunze boom ?

Acheni mambo yenu.
 
Naona sasa mtashika hadabu

Mkishindwa kujiajiri mtatafuta nchi ya kwenda kukaa bure bila shughuli yeyote maana imekuwa to much sasa mpo tu na hamna faida yeyote

Rasmi sasa muhitimu yeyote wa Chuo atayeshindwa kujiajiri baada ya kumaliza chuo achague aende jela miaka mitatu akakae bure huko jela au aame nchi atafute nchi ambayo anaweza kwenda kukaa bila shughuli

Wahitimu wa Chuo wamekuwa kero sanaa mitaani yaani sawa sawa na watoto wa mitaani tu hawana tofauti na machokoraa , wapo wapo tu

Sasa mmeenda Chuo kufanyaje? Kama izo elimu zenu haziwezi wasaidia chochote si bora mngeishia darasa Ka saba tu tujue moja kama hamna elimu yeyote maana hata hao darasa la saba wapo juu kujiajiri kuliko hao wahitimu wa Chuo

Hamna faida Kwa taifa bora litokee janga wahi timu wa Chuo wote mfe, maana ni hasara Kwa taifa

Mijingaaa kabsa
 
Tusitishanee bhanaa wee, watuachee eboooh
 
Mleta mada naona unawajia juu wanachuo ?

Vipi wewe umejiajiri au umeajiriwa

Wewe kama ni mwachuo na upo tu mkuu kuna sheria itapitishwa hivi karibuni kuwa muhitimu wachuo akimaliza Chuo Na kushindwa kujiajiri anaenda jela miaka minne


Jiandae Kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…