Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
sometimes watu wa namna hii wanapaswa kudhibitiwa mapema kabla hawajaanza ubakajiMda ukifika itakuwa,ila siyo kwa ushauri ulioutoa.kufanya hivyo nisawa nakushindana na mjinga anayetamka ovyoovyo tu.
Muro ukame wa singida unamsumbua
asanteYeyote anaezuia mkusanyiko wa watu wa kutoa maoni yao ni anajifanya kuwa juu ya katiba,na yeyote anaejifanya kuwa yuko juu ya katiba ni Kima aliechangamka🐒🐒🐒
View attachment 1856033
Hana uwezo huoAnaweza akawadhibiti kwa kuwanyima vibali,kwanza Ikungi kumbi ni chache na hivyo mtabaniwa hapo hapo
Ikungi tunataka maendeleo, Katiba pelekeni huko Kaskazini walipo endelea.Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa .
Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi wanaoratibu kongamano hili , baada ya kutoka Mwanza walielekeze Singida , na hasa Wilaya ya Ikungi . Nimetaka liende Ikungi ili tuone huo uchafu alioropoka DC mzigo wa Wilaya hiyo anayeitwa Jerry Muro kama ataweza kuufanya .
Jerry Muro mtu duni aliyeokotwa kutoka Yanga na kupachikwa kwenye Ukuu wa Wilaya kama bakshishi baada ya kumhujumu Yusuph Manji ( sitafafanua ) , ametangaza kwamba ni marufuku kwa mtu yeyote kujadili umuhimu wa katiba mpya kwenye Wilaya anayoongoza , Ukweli ni kwamba Jerry Muro hana mamlaka hayo aliyojipa , na hakuwahi kuwa nayo na wala hatokuja kuwa nayo hadi anaingia kaburini .
Ndio maana tunawaelekeza Chadema kubadili ratiba ya kongamano la Katiba mpya na kulielekeza Ikungi ili tuone hiyo jeuri ya Jerry Muro itakakoishia .
wewe kama nani ?Ikungi tunataka maendeleo, Katiba pelekeni huko Kaskazini walipo endelea.
Jaji Mfawidhi na mwanaharakati huru na pia M-Tanganyika mwenye asili ya Singida.wewe kama nani ?
Mamlaka ya kuwapangia wengine umetoa wapi ?Jaji Mfawidhi na mwanaharakati huru na pia M-Tanganyika mwenye asili ya Singida.
mamlaka ya kuniuliza maswali umetoa wapi? nijibu nikujibu.Mamlaka ya kuwapangia wengine umetoa wapi ?
Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa .
Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi wanaoratibu kongamano hili , baada ya kutoka Mwanza walielekeze Singida , na hasa Wilaya ya Ikungi . Nimetaka liende Ikungi ili tuone huo uchafu alioropoka DC mzigo wa Wilaya hiyo anayeitwa Jerry Muro kama ataweza kuufanya .
Jerry Muro mtu duni aliyeokotwa kutoka Yanga na kupachikwa kwenye Ukuu wa Wilaya kama bakshishi baada ya kumhujumu Yusuph Manji ( sitafafanua ) , ametangaza kwamba ni marufuku kwa mtu yeyote kujadili umuhimu wa katiba mpya kwenye Wilaya anayoongoza , Ukweli ni kwamba Jerry Muro hana mamlaka hayo aliyojipa , na hakuwahi kuwa nayo na wala hatokuja kuwa nayo hadi anaingia kaburini .
Ndio maana tunawaelekeza Chadema kubadili ratiba ya kongamano la Katiba mpya na kulielekeza Ikungi ili tuone hiyo jeuri ya Jerry Muro itakakoishia .
View attachment 1856101
Lini mlihitaji msaasa wa chadema imeanza lini?? 🤣🤣🤣Mama anaupiga mwingi. Kila mtu ashinde mechi zakeChadema hawana muda na mambo yanayowagusa wananchi.
Wao wanapambania tu namna wanaweza tawala ,
Wana dai Katiba na tume huru maswala ya Kodi sijui nini hayawahusu
Jaji Mfawidhi na mwanaharakati huru na pia M-Tanganyika mwenye asili ya Singida.