sasa anataka katiba mpya ya nini kama unaweza kubwabwaja hivi bila hofu kwa mujibu wa katiba iliyopo- akili zingine bhanaIkumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa .
Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi wanaoratibu kongamano hili , baada ya kutoka Mwanza walielekeze Singida , na hasa Wilaya ya Ikungi . Nimetaka liende Ikungi ili tuone huo uchafu alioropoka DC mzigo wa Wilaya hiyo anayeitwa Jerry Muro kama ataweza kuufanya .
Jerry Muro mtu duni aliyeokotwa kutoka Yanga na kupachikwa kwenye Ukuu wa Wilaya kama bakshishi baada ya kumhujumu Yusuph Manji ( sitafafanua ) , ametangaza kwamba ni marufuku kwa mtu yeyote kujadili umuhimu wa katiba mpya kwenye Wilaya anayoongoza , Ukweli ni kwamba Jerry Muro hana mamlaka hayo aliyojipa , na hakuwahi kuwa nayo na wala hatokuja kuwa nayo hadi anaingia kaburini .
Ndio maana tunawaelekeza Chadema kubadili ratiba ya kongamano la Katiba mpya na kulielekeza Ikungi ili tuone hiyo jeuri ya Jerry Muro itakakoishia .
View attachment 1856101
Pole kwa mawe mkuusasa anataka katiba mpya ya nini kama unaweza kubwabwaja hivi bila hofu kwa mujibu wa katiba iliyopo- akili zingine bhana
Umemquote MatagaNilishakuita majina mabaya sana na umedhihirisha hilo tena hapa. Eti “mwanaharakati” - hizo harakati zako huru unazifanyia wapi kama unazuia na wengine wenye zao wasizifanye?? Eti “mtanganyika”. Hutaki muungano? Na umeruhusiwa hapa kujiita hivo na maoni yako yanasikilizwa!! Sasa unasema unasema wasije Ikungi, unawachagulia sehemu na kitu cha kufanya! Huo sio uhuru - subirini wavunje sheria!! Tope katika fuvu!!
Njooni tunawasubiri muone mziki, msifikiri sisi ni kama wachagga mmewatesa kwa miaka mitano na genge lenu la SUKUMA,Nilishakuita majina mabaya sana na umedhihirisha hilo tena hapa. Eti “mwanaharakati” - hizo harakati zako huru unazifanyia wapi kama unazuia na wengine wenye zao wasizifanye?? Eti “mtanganyika”. Hutaki muungano? Na umeruhusiwa hapa kujiita hivo na maoni yako yanasikilizwa!! Sasa unasema unasema wasije Ikungi, unawachagulia sehemu na kitu cha kufanya! Huo sio uhuru - subirini wavunje sheria!! Tope katika fuvu!!