Ratiba rasmi ya rais Magufuli 2018-2025 hii hapa.Usifungue kama una presha

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Heshima mbele wakuu,baadhi ya ratiba ya mh Magufuli kwa miaka 2018 mpaka 2025,mabadiliko yanaweza kutokea kidogo (lkn tegemea baadhi ya vitu kuongezeka ila sio kupungua)
  1. September 2018 rais Magufuli atakuwa anazindua daraja la magari la kupita juu (kwa lugha ya kitaalam linaitwa MANY LANES EXTRAORDINARY FLYOVER)
  2. October 2018 rais Magufuli atakuwa anazindua mradi mkubwa wa maji wa mto wa Malagalasi ,mradi huo utagharimu mabilioni ya shilingi na utahudumia maelfu ya mamia ya wananchi.
  3. November 2018 rais Magufuli atakuwa anapokea ndege mbili nyingine mbili aina ya Bomberdier C-series ikiwa ni mwendelezo wa serikali ya Tanzania kununua ndege na mandege ya maana.
  4. Desemba 2018 Magufuli kuweka jiwe la ujenzi kuashiria kuanza rasmi mradi wa aina yake ya ujenzi wa Hydropower kubwa barani Afrika nyuma kidogo ya Ethiopia.Stiglers itakuwa na uwezo wa kuzalisha 2100MW.Tusisahau kuwa Kenya kwa sasa pamoja na kelele zake zote umeme wanaozalisha ni 1337MW (KenGen owns thirty one (31) power generating plants with a combined installed capacity of 1,337MW )
  5. Januari 2019 Magufuli atakuwa anaweka jiwe la ujenzi kuashiria kuanza mradi wa BRT phase 2. Mradi huu utashuhudia serikali ya Tanzania ikichoma pesa za kimerakani zaidi ya milioni 160. Tusisahau Kenya inahitaji dola milioni 70 kumaliza kabisa tatizo la njaa.
  6. Februari 2019 rais Magufuli akiwa anatoka mapumzikoni kijijini kwake Chato atapita jijini Mwanza kufungua uwanja wa kisasa jijini Mwanza baada ya kukamilika kwa ukarabati. Ukarabati huo uliogharimu kiasi cha Sh bilioni 105 zilizotumika kujenga jengo la mizigo, mnara wa kuongozea ndege, kuhamisha mto na kuongeza urefu wa mita 500 eneo la kurukia ndege.
  7. Machi 2019 rais atakuwa anaweka jiwe la msingi kuashiria kuanza ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimaifa kutoka Dodoma kuelekea Isaka.Reli kufika Isaka kwa lugha ya kijiografia inamaana ni kuwa tuko Kigali na Bujumbura kiroho,kinachosubiriwa ni kufika kimwili tu.
NAMALIZIA KULA THEN NARUDI KUMALIZIA MPAKA 2025.STAY TUNED
 
Ratiba ya Magu ni ya kuzindua tu kama ilivyo kawida yake bila kusahau kuitaja KENYA...kwani advisors wa Jiwe ni mapimbi aje?
Haha kila siku kuota Kenya. LMAO umecheki installed power capacity ya Kenya according to these ignoramuses? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
awape pia nafasi mawaziri wake kama alivyopewa nafasi yeye enzi akowa waziri
 
Haha kila siku kuota Kenya. LMAO umecheki installed power capacity ya Kenya according to these ignoramuses? [emoji23][emoji23][emoji23]
Amebobea mno kwenye uzinduzi, nafikiri anaongoza Dunia kote upande wa renders and laying foundation stones... natunajua vizuri vyuma vilikaza kitaaambo.
 
Alafu mwisho wa siku hao unaowalingishia hivyo vitu, wote mtakuwa na haki sawa ya kuvitumia na pengine wao wakavitumia kuliko wewe unaeona fahari mpaka unawananga watu
 
Heshima mbele wakuu,baadhi ya ratiba ya mh Magufuli kwa miaka 2018 mpaka 2025,mabadiliko yanaweza kutokea kidogo (lkn tegemea baadhi ya vitu kuongezeka ila sio kupungua)
  1. September 2018 rais Magufuli atakuwa anazindua daraja la magari la kupita juu (kwa lugha ya kitaalam linaitwa MANY LANES EXTRAORDINARY FLYOVER)
  2. October 2018 rais Magufuli atakuwa anazindua mradi mkubwa wa maji wa mto wa Malagalasi ,mradi huo utagharimu mabilioni ya shilingi na utahudumia maelfu ya mamia ya wananchi.
  3. November 2018 rais Magufuli atakuwa anapokea ndege mbili nyingine mbili aina ya Bomberdier C-series ikiwa ni mwendelezo wa serikali ya Tanzania kununua ndege na mandege ya maana.
  4. Desemba 2018 Magufuli kuweka jiwe la ujenzi kuashiria kuanza rasmi mradi wa aina yake ya ujenzi wa Hydropower kubwa barani Afrika nyuma kidogo ya Ethiopia.Stiglers itakuwa na uwezo wa kuzalisha 2100MW.Tusisahau kuwa Kenya kwa sasa pamoja na kelele zake zote umeme wanaozalisha ni 1337MW (KenGen owns thirty one (31) power generating plants with a combined installed capacity of 1,337MW )
  5. Januari 2019 Magufuli atakuwa anaweka jiwe la ujenzi kuashiria kuanza mradi wa BRT phase 2. Mradi huu utashuhudia serikali ya Tanzania ikichoma pesa za kimerakani zaidi ya milioni 160. Tusisahau Kenya inahitaji dola milioni 70 kumaliza kabisa tatizo la njaa.
  6. Februari 2019 rais Magufuli akiwa anatoka mapumzikoni kijijini kwake Chato atapita jijini Mwanza kufungua uwanja wa kisasa jijini Mwanza baada ya kukamilika kwa ukarabati. Ukarabati huo uliogharimu kiasi cha Sh bilioni 105 zilizotumika kujenga jengo la mizigo, mnara wa kuongozea ndege, kuhamisha mto na kuongeza urefu wa mita 500 eneo la kurukia ndege.
  7. Machi 2019 rais atakuwa anaweka jiwe la msingi kuashiria kuanza ujenzi wa reli kwa kiwango cha kimaifa kutoka Dodoma kuelekea Isaka.Reli kufika Isaka kwa lugha ya kijiografia inamaana ni kuwa tuko Kigali na Bujumbura kiroho,kinachosubiriwa ni kufika kimwili tu.
NAMALIZIA KULA THEN NARUDI KUMALIZIA MPAKA 2025.STAY TUNED
Umesahau terminal 3 Airport mkuu
 
Hongera ila pia muwe mnatuletea na taarifa za miradi aliyotia jiwe la msingi wakati inakamilika maana mpaka sasa sijaona mradi au kuskia taarifa za mradi aliozindua muheshimiwa wenu kwamba umekamilika na unatumika. Miradi yote ambayo alizindua matumizi yake, yote ya Kikwete, sasa ya kwake aliosimamia mpaka hatima yake iko wapi.

Mwaka umesalia mmoja kabla aje kuwaomba kura tena, atatumia mapicha ya mradi upi aliokamilisha, maana lindege hilo sidhani kama litampa kura sana maana halihusiani na mlalahoi mpiga debe kama wewe mleta mada.
 
Mwaka umesalia mmoja nani kakuambia? JPM ndio ana 2.5 years in office na miradi aliyoianzisha mpaka ikamilike ni 3+ years hapo nimeongelea miradi mikubwa

Projects nyingine alizokamilisha ni

📚 No more mikataba ya kinyonyaji kwenye madini yetu

🔬 Ununuzi ya CT scans and MRIs

✈ Ununuzi ndege 7

📙 Elimu bure

🏥 Ujenzi wa hospitals (30>)

🏙 Ujenzi wa hostels (4>)

🚧 Ujenzi wa barabara (5,000 kilometers)

🌉 Ujenzi wa madaraja makubwa (JPM Bridge /Kilombero Bridge)

🔬 Ujenzi wa school laboratories kila sec school plus lab apparatuses

🖥 Kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini shuleni

💊 Kumaliza tatizo la madawa hospitals

⚡ Umeme vijijini nchi nzima, connection charges ni 24,000 TSH

💰 Monthly revenue collection from 850B to 1.3T

🚙 Zaidi ya magari 700 hardtop for ambulances 🚑, medical supplies vehicles, magari waratibu wa elimu nchi nzima etc

🔙 Serikali kuhamia Dodoma

📱 TTCL revival

🚉 TRC revival

🛳 TPA revival

🏞 Tanzania National Park revival

🥇 Hatuibiwi tena dhahabu yetu

💎 Hatuibiwi tena Tanzanite yetu
 
Ujenzi wa meli na Panton lake Nyasa , Tanganyika and Mwanza

Upanuzi na ujenzi wa viwanja vya ndege ie, Kilimanjaro Int. Mwanza, Songwe etc.

Magufuli Hostels plus East Africa biggest library UDSM

7 Commercial Aircrafts

Hospital za Rufaa kila wilaya

SGR Plus Flyovers

Barabara za kuunganisha mikoa

Viwanda ukifika kibaha na Bagamoyo utashangaa

Stiglers gorge ( iko njiani)

Miradi mikubwa ya maji ie. Mradi wa maji wa ziwa Victoria

Elimu BURE for all, plus Loan to Higher learning students

The list is endless, you can add more
 
Mwaka umesalia mmoja nani kakuambia? JPM ndio ana 2.5 years in office na miradi aliyoianzisha mpaka ikamilike ni 3+ years hapo nimeongelea miradi mikubwa

Projects nyingine alizokamilisha ni

📚 No more mikataba ya kinyonyaji kwenye madini yetu

🔬 Ununuzi ya CT scans and MRIs

✈ Ununuzi ndege 7

📙 Elimu bure

🏥 Ujenzi wa hospitals (30>)

🏙 Ujenzi wa hostels (4>)

🚧 Ujenzi wa barabara (5,000 kilometers)

🌉 Ujenzi wa madaraja makubwa (JPM Bridge /Kilombero Bridge)

🔬 Ujenzi wa school laboratories kila sec school plus lab apparatuses

🖥 Kumaliza tatizo la wanafunzi kukaa chini shuleni

💊 Kumaliza tatizo la madawa hospitals

⚡ Umeme vijijini nchi nzima, connection charges ni 24,000 TSH

💰 Monthly revenue collection from 850B to 1.3T

🚙 Zaidi ya magari 700 hardtop for ambulances 🚑, medical supplies vehicles, magari waratibu wa elimu nchi nzima etc

🔙 Serikali kuhamia Dodoma

📱 TTCL revival

🚉 TRC revival

🛳 TPA revival

🏞 Tanzania National Park revival

🥇 Hatuibiwi tena dhahabu yetu

💎 Hatuibiwi tena Tanzanite yetu

Anyway poa maana sina uwezo wa kuthibisha haya yote, mambo kama sijui eti hamuibiwi dhahabu, makinikia, Tanzanite, au revivals za mashirika kama TRC sijui umetumia data zipi za kuonyesha tofauti ya then na sasa hivi, au hata panton alizotaja mwenzio hapo chini.
Lakini kikubwa ni weka comparative analysis ya haya yote kwa miaka ya Kikwete na kwa miaka ya JPM ndio ziwe quantifiable. Maana kuna nyuzi nyingi zinafunguliwa humu na Watanzania full vilio kila siku na hawaonekani kuona chochote kati yote uliyotaja.
Halafu nijuavyo ucchaguzi wenu mtaufanya 2020 na hapa tulipo tayari mwaka wa 2018 tunaupa kisogo, hivyo 2019 ndio itabidi muongeze kasi walau mpate mapicha ya miradi ya kutafutia kura.
 
Unalinganisha Chuwi na Simba, Kikwete alikuwa zama zingine na Magufuli yuko zama tofauti. Linganisha Kikwete na Kibaki au Magufuli na Kenyatta kupata picha kili.
 
Ratiba ya Magu ni ya kuzindua tu kama ilivyo kawida yake bila kusahau kuitaja KENYA...kwani advisors wa Jiwe ni mapimbi aje?
Nani alikuita huku? Au ni kimuhemuhe cha kujua ratiba ya jiwe
 
JPM kwa miundombinu amewapiku maraisi woote waliowahi kuongoza TZ ila naye amefeli sana kwenye demokrasia kuliko maraisi wote
 
Back
Top Bottom