Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka:

1. SIMBA VS PAMBA
2. YANGA VS GEITA
3. AZAM VS POLISI
4.COASTAl VS KAGERA

NUSU FAINALI:
Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA
Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA

Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na YANGA kukutana Nusu fainali
 
Ratiba ya Robo fainali

9b400e2a-ec68-45de-84ed-b904ab6dfdba.jpg
 
Yanga wajiangalie Geita watawatoa nishai.
Simba wakiacha dharau wanatoboa ila wakipaka poda ngoma itakua ngumu.
 
Yanga tayari kapita Paamba wakikomaa mikia lazima walale, tupe na viwanja mkuu, hiyo ya Pamba itakuwa Kirumba?
Wakubwa wote watapita maana wanacheza na matawi yao (Mkubwa na mwanae)
 
Mmoja hapo atapigwa robo fainali ili tu kumkimbia Mtani.
 
Azam Cup Robo Fainali
Simba vs Pamba
Yanga vs Geita
Azam vs Polisi
Coastal vs Kagera.

Ratiba ya Nusu fainali itakuwa kama ifuatavyo.

Mshindi kati ya simba na Pamba atacheza na mshindi kati ya Yanga na Geita.

Na mshindi kati ya Azam na polisi atacheza na mshindi kati ya Coastal na Kagera.

Nusu fainali hizo zitachezwa mikoa ya Arusha na Mwanza.

Na washindi watakao patikana ndio watacheza fainali
 
Simba vs Pamba
Pamba 2 Simba 1

Yanga vs GG
GG 4 Yanga 3 (penalti 1)

Twiga Stars ndiyo habari ya mjini
 
Kwa nini simba na yanga kila game la azam sport zinachezea dsalaam??
 
Kwa sasa zitakutana kati ya Mwanza na Arusha
Haujamuelewa, jamaa anacho hoji ni kwanini katika michuano hii ya kombe la Azam Simba na Yanga wanapewa vipaumbele vya kucheza uwanja wa nyumbani kwenye mechi zao?
 
Back
Top Bottom