Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

Haujamuelewa, jamaa anacho hoji ni kwanini katika michuano hii ya kombe la Azam Simba na Yanga wanapewa vipaumbele vya kucheza uwanja wa nyumbani kwenye mechi zao?
Ndio uwanja mzuri na pia pesa itapatikana.
Mpira pesa ujue
 
Huu ujinga wao wa kupeleka nusu fainali mikoani watuondolee
 
Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka:

1. SIMBA VS PAMBA
2. YANGA VS GEITA
3. AZAM VS POLISI
4.COASTAl VS KAGERA

NUSU FAINALI:
Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA
Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA

Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na YANGA kukutana Nusu fainali
Mechi ya Pamba tusiichukule powa.
 
Wakubwa wote watapita maana wanacheza na matawi yao (Mkubwa na mwanae)
Geita ni timu ya mgodi wa GGM iko kwa kivuli cha serikali tu hiyo yanga ina uhusiano gani na GGM?
Iliyokuwa timu ya Geita kabla ya kufanya manjegeka ilikuwa under full sponsorship ya Ashanti-anglo gold miaka mingi sana iliyopita na walijengewa uwanja kabisa upo Nyamalembo! (Watanisahihisha wakazi wa huko)

Pamba na simba nazo ni wapi na wapi kaka au ushabiki tu?
 
Back
Top Bottom