Wakubwa wote watapita maana wanacheza na matawi yao (Mkubwa na mwanae)Yanga tayari kapita Paamba wakikomaa mikia lazima walale, tupe na viwanja mkuu, hiyo ya Pamba itakuwa Kirumba?
Duuh!!!haya ngoja tuhifadhi!!Fainal: Azam vs Simba
Full time: Azam 0 Simba 1 (Sakho).
mtaelewa tuZanzibar nani alimkimbia mwenzake[emoji1]
Yanga tayari kapita Paamba wakikomaa mikia lazima walale, tupe na viwanja mkuu, hiyo ya Pamba itakuwa Kirumba?
Mechi zinachezwa wapi???
Kwa sasa zitakutana kati ya Mwanza na ArushaKwa nini simba na yanga kila game la azam sport zinachezea dsalaam??
Haujamuelewa, jamaa anacho hoji ni kwanini katika michuano hii ya kombe la Azam Simba na Yanga wanapewa vipaumbele vya kucheza uwanja wa nyumbani kwenye mechi zao?Kwa sasa zitakutana kati ya Mwanza na Arusha