nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,033
- 895
( 1. ) JUMATATU & JUMANNE
( AGOSTI 17- 18 / 2020 )
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa...
Walishaambiwa ba polepole kwa wale ambao haqajatoa mzigo na walizingatia taratibu za chama wawe na amani. Sasa tusubiri maana others contested stuffs tunazo huku.Duuuh hizo ngazi hivi maana yake mgombea apitie hizo kamati hadi afike halmashauri kuu ndo atoboe au ni vikao vya kawaida?
wajuvi wa mambo nielimisheni
We umejuaje?Mwenyekiti anaingia na majina yake......hakuna wa kumuuliza ukihoji unafukuzwa uanachama..CCM NI MAJAMBAZI!
Na wakitoswa wataweza kuwahi kule ACT, Chadema, CUF nk? Kwa hii timing!!Asanteni kwa ccm kutoa ratiba,kuna wadau wanapitia mateso makubwa kisaikolojia bora wajue mojawapo.