Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

( 1. ) JUMATATU & JUMANNE
( AGOSTI 17- 18 / 2020 )
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 2. ) JUMATANO
( AGOSTI 19 - 2020 )
Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

( 3. ) ALHAMISI & IJUMAA
( AGOSTI 20 -21 / 2020 )
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 4. ) JUMAMOSI
( AGOSTI 22 -2020 )
Halmashauri Kuu ya Taifa.
kuna wapuuzi utasikia wanasifia sijui chizi gani limepambana na rushwa sijui chizi gani limerudisha hiki. Rushwa iliyotembea wakati wa kura za ndani ya CCM hata shetani hapendi. tuone sasa wakiwakata
 
Ni kipindi muhimu katika kuboresha utendaji wa Chama. Tuwaombee!
 
Namuombea Sana Makonda apitishwe kuwa mgombea wa CCM Kgamboni..Ningefurahi Sana.Kgamboni tutakuwa tumepata BONGE LA MBUNGE kindakindaki wa CCM na ambaye Atakuwa mtetezi mzuri Sana kwa Wana-Kgamboni.Chuki binafsi KUHUSU Makonda tuziweke pembeni kwa sasa.Tuangalie uchapa kazi wake.
Weka rekodi yake mkuu angalau kwa ufupi
 
yesu wa lugola hana ubavu wa kumtema Bashite kwa namna yoyote ile ni lazima azuke mjengoni au siri za maovu waliyotenda pamoja zote hadharani zote hadharani

Ngoja nimpe hongera kabisa Paul Makonda maana jina lake lipo mfukoni mwa Mwenyekiti

Mwenyekiti anaingia na majina yake......hakuna wa kumuuliza ukihoji unafukuzwa uanachama..CCM NI MAJAMBAZI!
 
kuna wapuuzi utasikia wanasifia sijui chizi gani limepambana na rushwa sijui chizi gani limerudisha hiki. Rushwa iliyotembea wakati wa kura za ndani ya CCM hata shetani hapendi. tuone sasa wakiwakata

Kuna rafiki yangu alikuwa mjumbe huko kawe nasema hakuna mtu aliyegawa fweza kama gwajiboy kila mtia nia alitoa mzigo ila gwaj amevunja kwa kutoa nyingi
 
Hapa ndopachungu ukitema nchale ukimeza nchale,,,maamuzi yotote hayana afya ikibaki Kama ilivyo mbaya naikipinduliwa mbaya,,
 
Kuna rafiki yangu alikuwa mjumbe huko kawe nasema hakuna mtu aliyegawa fweza kama gwajiboy kila mtia nia alitoa mzigo ila gwaj amevunja kwa kutoa nyingi
Siku sote anahubiri kuwa toa nyingi upate nyingi. Hivyo analiishi neno analolihubiri.
 
Hongera bashite

Back
Top Bottom