Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Msisahau hawa watu, hawahitaji fomu m/kiti anayo majina yao tayari.

Mawaziri, manaibu, DC, RC wakurugenzi wote hao isingekuwa PIN wangetia NIA ila kwa sababu ya PIN wameponea shoka la wajumbe, hivyo wengi wa hao watakuwemo kwenye kinyanganyiro japo hukuona, sikia wakichekechwa na wajumbe.
 
Duuuh hizo ngazi hivi maana yake mgombea apitie hizo kamati hadi afike halmashauri kuu ndo atoboe au ni vikao vya kawaida?

wajuvi wa mambo nielimisheni
Uhuni tu wa CCM, Ingekuwa ni serious nafikiri tusingepata design za kina Msukuma na Kibajaji.
 
( 1. ) JUMATATU & JUMANNE
( AGOSTI 17- 18 / 2020 )
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 2. ) JUMATANO
( AGOSTI 19 - 2020 )
Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

( 3. ) ALHAMISI & IJUMAA
( AGOSTI 20 -21 / 2020 )
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 4. ) JUMAMOSI
( AGOSTI 22 -2020 )
Halmashauri Kuu ya Taifa.
Hayatuhusuuuu[emoji119]
 
This is symbolic, maamuzi yote ameshafanya Jiwe, may be kwa kuwahusisha ..kama watazamaji... with no power to vote, Bashiru na Polepole.... Mangula???
 
Namuombea Sana Makonda apitishwe kuwa mgombea wa CCM Kgamboni..Ningefurahi Sana.Kgamboni tutakuwa tumepata BONGE LA MBUNGE kindakindaki wa CCM na ambaye Atakuwa mtetezi mzuri Sana kwa Wana-Kgamboni.Chuki binafsi KUHUSU Makonda tuziweke pembeni kwa sasa.Tuangalie uchapa kazi wake.
 
( 1. ) JUMATATU & JUMANNE
( AGOSTI 17- 18 / 2020 )
Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 2. ) JUMATANO
( AGOSTI 19 - 2020 )
Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

( 3. ) ALHAMISI & IJUMAA
( AGOSTI 20 -21 / 2020 )
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

( 4. ) JUMAMOSI
( AGOSTI 22 -2020 )
Halmashauri Kuu ya Taifa.
chama la rushwa
 
Kwa vyovyote wateuliwa wote wameshajulishwa na wameshaanza harakati za kupanga wadhamini na taratibu zote ...na wameshapewa copy za form ili watakapoambiwa wakachukue inakua copy and past.
Otherwise wengine hawatowahi muda wa kurudisha na kuteuliwa tarehe 25. Kwani tarehe 26 kampeni zinaanza.

Na hapo wamebana muda ili wale watakaotemwa wasiende vyama vingine kwakua muda itakua umeisha.
 
Hata kama wakiwabana hao watu kwa muda, bado haitasaidia kwasababu wafuasi wao watachagua mgombea wa upinzani.
 
To whom it may concern but not us.

The corrupt elements are set to be nominated by the now unpopular ruling party to run for the legislative seats in the forthcoming general elections slated for the October, 28 of this year.
 
Hawa jamaa form watachukua lini na watatafuta wazamini lini?

Mnataka kuwakata watu lakini mnawabana Ili wasi cross line na kwenda upande wa pili.
Fomu za Ubunge na Udiwani hutolewa hapo hapo alipo mgombea mteuliwa SIYO NEC DODOMA. Kwa mantiki hiyo, wagombea wateuliwa watatajwa na Comrade Polepole siku ya Jumamosi tarehe 22/08/2020 saa kumi jioni na kesho yake kila mteuliwa atachukua fomu kwa DED au kwa Mkurugenzi wa Manispaa aua Jiji husika; atazijaza kwa kupata wadhamini 25 na kuzirudisha Jumatatu tarehe 24/08/2020 kabla ya tarehe 25/08/2020. Na kusubiri uteuzi wa NEC hapo hapo mkoani/wilayani/kata. Muda si mmbaya sana.
 
Kwa vyovyote wateuliwa wote wameshajulishwa na wameshaanza harakati za kupanga wadhamini na taratibu zote ...na wameshapewa copy za form ili watakapoambiwa wakachukue inakua copy and past.
Otherwise wengine hawatowahi muda wa kurudisha na kuteuliwa tarehe 25. Kwani tarehe 26 kampeni zinaanza.

Na hapo wamebana muda ili wale watakaotemwa wasiende vyama vingine kwakua muda itakua umeisha.
Roho mbaya,hakuna muda wa kijitetea.Rushwa sio tu tatizo,kuna hata Roho mbaya,wakiamua kukuchukia hata kama hujatoa rushwa wana ku DELETE mapema .
 
Kwa vyovyote wateuliwa wote wameshajulishwa na wameshaanza harakati za kupanga wadhamini na taratibu zote ...na wameshapewa copy za form ili watakapoambiwa wakachukue inakua copy and past.
Otherwise wengine hawatowahi muda wa kurudisha na kuteuliwa tarehe 25. Kwani tarehe 26 kampeni zinaanza.

Na hapo wamebana muda ili wale watakaotemwa wasiende vyama vingine kwakua muda itakua umeisha.
Sio kweli mbona Mimi kama Mkurugenzi wa Halmashauri fulani sijapata maelekezo hayo??
 
Back
Top Bottom