Uchaguzi 2020 RATIBA: Vikao vya Uteuzi Wabunge & Wawakilishi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

kuna wapuuzi utasikia wanasifia sijui chizi gani limepambana na rushwa sijui chizi gani limerudisha hiki. Rushwa iliyotembea wakati wa kura za ndani ya CCM hata shetani hapendi. tuone sasa wakiwakata
 
Upinzani bana naona mpo mnacheza ngoma hapa NGUO ZA KIJANI zinawadeki tu.
 
Ni kipindi muhimu katika kuboresha utendaji wa Chama. Tuwaombee!
 
Weka rekodi yake mkuu angalau kwa ufupi
 
yesu wa lugola hana ubavu wa kumtema Bashite kwa namna yoyote ile ni lazima azuke mjengoni au siri za maovu waliyotenda pamoja zote hadharani zote hadharani

Ngoja nimpe hongera kabisa Paul Makonda maana jina lake lipo mfukoni mwa Mwenyekiti

Mwenyekiti anaingia na majina yake......hakuna wa kumuuliza ukihoji unafukuzwa uanachama..CCM NI MAJAMBAZI!
 
kuna wapuuzi utasikia wanasifia sijui chizi gani limepambana na rushwa sijui chizi gani limerudisha hiki. Rushwa iliyotembea wakati wa kura za ndani ya CCM hata shetani hapendi. tuone sasa wakiwakata

Kuna rafiki yangu alikuwa mjumbe huko kawe nasema hakuna mtu aliyegawa fweza kama gwajiboy kila mtia nia alitoa mzigo ila gwaj amevunja kwa kutoa nyingi
 
Hapa ndopachungu ukitema nchale ukimeza nchale,,,maamuzi yotote hayana afya ikibaki Kama ilivyo mbaya naikipinduliwa mbaya,,
 
Kuna rafiki yangu alikuwa mjumbe huko kawe nasema hakuna mtu aliyegawa fweza kama gwajiboy kila mtia nia alitoa mzigo ila gwaj amevunja kwa kutoa nyingi
Siku sote anahubiri kuwa toa nyingi upate nyingi. Hivyo analiishi neno analolihubiri.
 
Vp show ya wasanii zitakuwepo

Ova
 
Hongera bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…