FBY 2013
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 401
- 90
Simiyu Yetu, vipi Bwana 6 inamana alikurupuka kusema Warioba atapewa dak 60 za uwasilishaji??? Je, tuendelee kuamini kua Bwana 6 ni Mzee wa Viwango bado???? Vipi wale Mamluki wa CCM kuja Kuelezea mawazo ya Ki CCM Kuhusu Muungano mbona hujaelezea au hujajua muafaka ukoje?? na vipi kuhusu JK Atakuja kuzindua Bunge????