View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Chadema hapo tu mi ndio niliwashangaa kwa Tanzania hii hakuna wa kupinga uchaguzi labda Ccm wenyewe
Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.
CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
Huna akili njaa zinakusumbua mboga mnaturudisha nyumaMojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.
CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
Unapigania mabadiliko kwa kutumia italics fonts kwenye JF??Unafikiri mtafanikiwa kuwabadilisha watu mitazamo yao! Mabadiliko yatapiganiwa mpaka pale mtakapo nyoosha yenu mikono juu. Kamwe dhuluma haiwezi kuishinda haki.
Hamna sisimizi yeyote wa CDM anaweza kusimamisha uchaguzi. Tafuteni shughuli zingine za kufanya. Tukutane 2030Imetoka ratiba au uchaguzi tayari?
It's true and fact!Unafikiri mtafanikiwa kuwabadilisha watu mitazamo yao! Mabadiliko yatapiganiwa mpaka pale mtakapo nyoosha yenu mikono juu. Kamwe dhuluma haiwezi kuishinda haki.
Mfano ungeweza kupendekeza wangetumia njia gani kumdhoofisha labda tukijaribu kukuvalisha viatu vyao??Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.
CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
Mfano ungeweza kupendekeza wangetumia njia gani kumdhoofisha labda tukijaribu kukuvalisha viatu vyao??