GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Sasa kama INEC imeshamtangaza Samia kuwa ndiye Rais kabla hata ya kupiga kura kuna haja gani kupotezeana muda na fedha za walipa kodi kufanya igizo la uchaguzi? Ni taahira tu atayepoteza muda wake kushiriki hili igizo.
 
Mimi binafsi nimekuwa nikitoa ushauri mara nyingi sana humu mtandaoni kwa hao Wahusika wa Vyama vya Upinzani, hususani CHADEMA. Wakati mwingine Nimekuwa nikitoa na mifano hai na halisia kabisa, kwa sasa sioni sababu hata moja ya kurudia kuelezea kuhusu jambo hili.
Elezea kwa kifupi ili kuupa nguvu uzi na pia kusakafia hoja yako ..
 
Kwani ratiba ndio uchaguzi? kwani hao CHADEMA walisema wanazuia ratiba ya uchaguzi au watazuia uchaguzi, una haraka sana subiri hiyo Octoba, kwani umesahau hapo Zanzibar uchaguzi ulifanyika ukafutwa halafu wakapanga ratiba mpya na uchaguzi ukafanyika upya
 
Kwani jamaa walisema watazuia ratiba?
Mkakati wa "No Reforms, No Elections" uliotangazwa na CHADEMA ni wazo la kihuni, lenye nia mbovu na la siasa chakavu ambalo linapotosha akili za Watanzania na kuhujumu demokrasia! Hii si kampeni ya mageuzi, bali ni jaribio la wazi la kushika mamlaka kwa nguvu kwa kisingizio cha "reforms." Wanadai wanataka uchaguzi huru na wa haki, lakini kwa kweli wanawaka moto wa machafuko na kutishia amani ya nchi. Je, hili ni kulinda demokrasia au kuiponda?Kupiga kelele "No Reforms, No Elections" bila kutoa suluhu za msingi au kujadiliana kwa njia ya kistaarabu ni sawa na mtu asiyekubali kuingia mchezoni kwa sababu hana uwezo! CHADEMA wanatumia mkakati huu kama silaha ya kuthibitisha udhaifu wao wa kisiasa—badala ya kushindana kwa haki kwenye uchaguzi, wanakimbilia mitaani na mitandaoni kuwachonganisha Watanzania. Hii ni tabia ya woga na kukosa maono ya uongozi wa kweli.
 
Picha ya Samia kwenye hiyo Ratiba ya INEC inamaanisha nini?
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Haijawa mpaka iwe nduguyangu hivyo usishangilie saaana, kwa vile mbaya wako bado yuko hai usijitape saaana. Wadigo tunasema ‘usinene ukamara’
 
Ukiona chama kinamtegemea Maria aliyegoma hata kumzika baba yake, au Mange anaye danga kwa wazungu, basi kiogope sana chama hicho. Kuongoza Nchi sio jambo la majaribio haswa Kwa watu ambazo hata familia zao zimewashinda.
 
Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.

CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
CHADEMA wanafikiri wao pekee ndio wana haki ya kuamua hatima ya nchi? Hiyo ni jeuri haikubalili! Wanatumia mitandao kama majukwaa ya kusambaza propaganda zao, wakijifanya wawakilishi wa wananchi wakati wanakataa hata kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia. Badala yake, wanapiga kelele tu ili kuvuruga na kuleta machafuko. Hii ni siasa ya kelele, si ya maendeleo. Watanzania hawahitaji wanasiasa wanaotaka kuvunja nchi kwa sababu hawapendi sheria za mchezo. Tunahitaji viongozi wanaoweza kushindana, kushawishi, na kuwashirikisha wananchi bila vitisho au chokochoko.
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Hivi mnafikiri Dunia ni baba yenu au mama zenu , safari hii mtaijua Dunia ,mwaka huu hakuna uchaguzi alisha sema Bwana
 
Ila Yericko Nyerere naye ametumikA sana kuhujumu mchakato wa NRNE.

Anyway sisi wengine hatukubaliani na mfumo wa vyama vingi tunawaacha mtifune wenyewe

Bara la africa linajipotezea muda na rasilimali zake kwa kukumbatia huu mfumo wakijinga wa vyama vingi

Mnatoza kodi badala ya kuzitumia kwenye maendeleo nyinyi mnaenda kununua wino wa kuweka kwenye kidole cha kupigia kura.

Tutengeneze mifumo mizuri ambayo inaendana na roho mbaya zilizojaa ujinga ambazo tumeumbwa nazo sisi ngozi iliyojaa giza na vichwa kama pumb#u

Unapeleka wabunge 300 bungeni for what? Mkuu wa wilaya,mkurugenzi,das, mkuu wa mkoa wote hao hawatoshi kutoa mawazo chanya mpaka tunapeleka wala kodi na wapiga makofi

Africa hasa Tz wabunge 40 tu wanatosha kutunga sheria pamoja na kuihoji serikali
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Tuliza mshono wewe chawa mpaka kieleweke mwaka huu
 
Back
Top Bottom