mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
From Lumumba
Kwa Samia na GENGE lake, ni jambo moja tu: Kubaki madarakani. Haya ya "FEKI"; au kukosa uhalali hayamo kabisa akilini mwao...uchaguzi ukifanyika katika mazingira haya utaonekana feki.
..Na watakaochaguliwa kutokana na uchaguzi huo watakosa uhalali mbele ya wananchi.
..hatua zilizochukuliwa na serikali bado sio jibu kwa hoja zilizowekwa mezani na Chadema.
Kwa Samia na GENGE lake, ni jambo moja tu: Kubaki madarakani. Haya ya "FEKI"; au kukosa uhalali hayamo kabisa akilini mwao.
Huu ndio ukweliView attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
TunatikiKwa Samia na GENGE lake, ni jambo moja tu: Kubaki madarakani. Haya ya "FEKI"; au kukosa uhalali hayamo kabisa akilini mwao.
TunatikiUlitaka wafanyeje? Washiriki alafu waibiwe kama kawa then waje kulialia kwenye media?
Hii nchi kubadilika ni miaka 100 ijayo
Hakuna hajaNaona picha ya mshindi kwenye tangazo...
Kuna haja ya kupanga foleni juani kweli?
TunatikiYaani ningewadharau sana cdm kama wangekubali kushiriki uchaguzi huu kwa sheria hizi za kihuni. Wamechukua uamuzi wa maana kupita maelezo. Vyama vilivyo tayari kuburuzwa na ccm ndio vipeni hivyo viti, cdm wao wanaweza kupata kura kihalali bila hisani ya majizi ya ccm.
..kwa maoni yangu tunazidisha tatizo badala ya kulipunguza, na ikiwezekana kulimaliza.
..bunge la 2020-25 lilikosa uhalali, sasa tunataka kuwa na miaka 10, yaani 2020 mpaka 2030 ya Bunge lisilokuwa na meno, na uhalali.
..pia tunatengeneza mazingira mabaya ya kutumia Polisi na Mahakama kushughulika na wapinzani.
..Maana yake jeshi la Polisi, na mahakama, watajenga mazoea na utamaduni wa kuonea watu, badala ya kutenda haki.
..Mwisho, ni mambo ya utekaji na mauaji. Tangu mwaka 2016 mpaka leo kumekuwa na muendelezo wa matukio mabaya dhidi ya wataka mabadiliko. Kwa msingi huo 2016 to 2030 itakuwa ni miaka 14 ya dhuluma dhidi ya wanaopigania mabadiliko.
..Ukipima mambo yote hayo utakubaliana na mimi kwamba njia ambayo watawala wanataka kutupitisha sio salama, na haituhakikishii amani ya muda mrefu.
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
CCM hawajali hilo mkuu, wao ni watawale kivyovyote tu
Nawashauri chadema warudi kwenye ulingo wa mapambano kwa kushiriki uchaguzi.wanaweza pata wabunge wengi sana hata 20-50 wanatosha!! Waje niwape Siri !!View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Hiyo picha hapo juu ni ya mfanyakazi wa tume ya uchaguzi? Kama siyo, kwani wameiweka hapo kwenye tangazo lao?View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Hata mkienda kuishi kwenye vituo vya kura, hatuna muda na uchaguzi wa kipuuzi.Tunatiki
Wewe na mimi tunaweza kuamini kuwa CCM wanaweza kupata ushindi halali, kwa sababu mbali mbali...wangeweza kushinda kihalali, na hakukuwa na ulazima wa kushinda kwa dhuluma.
..kama jambo wanaweza kulipata kwa njia za halali, kwanini walazimishe dhuluma na umwagaji damu?
raisi wetu😃Mbona kama tume ina mnadi mgombea wa chama cha siasa