Kulingana na Heche😂Hakuna Uchaguzi
2019View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
Hakuna namna wanaweza kurudi kwa vile walikataa kusaini kanuni za maadili ambazo ni takwa la lazima kwa vyama vinavyoshirikiNawashauri chadema warudi kwenye ulingo wa mapambano kwa kushiriki uchaguzi.wanaweza pata wabunge wengi sana hata 20-50 wanatosha!! Waje niwape Siri !!
Kuna tume hapo sasaMbona kama tume ina mnadi mgombea wa chama cha siasa
Hiyo 30% umeipataje?Kwa maoni yangu naona NRNE imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa maana hadi sasa watakaoenda kupiga kura hawafiki 30% ya waliojiandikisha naamini hivyo, kwahiyo NRNE haipo hadharani ila kwenye akili za watanzania hadi sasa kuna "sitoenda kupiga kura"
Tuweke uvyama pembeni.
Unaweza ukazuia uchaguzi kwenye keyboard tu. Kwa ground wewe huna lolote ni muoga kuliko kunguruTatizo ni hiyo 30%; kwa maana ikipatikana tu, Samia na GENGE wanajitangazia ushindi, tena kwa furaha kuu kabisa.
Lakini usisahau pia kwamba hayo masanduku ya kura yatajazwa na kura FEKI!
Kwa hali ilivyo angwa sasa hivi; hata 10% wakijitokeza kuiga kura; masanduku yataonyesha 40 au zaidi waliiga kura na **** ushindi Samia!
Kuzuia ujinga huu, ni lazima zipatikane njia za kuzuia uchaguzi usifanyike kabisa. Njia za kufanya hivyo zipo.
Sasa wewe niambie ukweli wako.Kwani tarehe 3/8 ni mbali, subiri utajuwa
Mleta uzi ni mimi, ni.mesema NRNE imefeli, na uchaguzi ni Oktoba 29, 2025.Uelewa wa kimantiki ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania wengi, hasa tunaojiita wasomi.
Huyo mleta uzi hana tofauti na Msukuma, Taletale na Kibajaji.
Kichwani ni mtupu.
Sasa unataka tutoke kwenye majadiliano ya kistaarabu tuanze kuzozana; na mimi huwa nipo tayari sana kwa hilo.Unaweza ukazuia uchaguzi kwenye keyboard tu. Kwa ground wewe huna lolote ni muoga kuliko kunguru
Angalia ulivyo mjinga. Unajuwa 'tramadol' ni kitu gani wewe?Maumivu ya kichwa huanza polepole, kisha huenea mwili mzima. Andaa tramadol 500 mg
Hili unaniuliza ni swali nilijibu. Wewe ni mzoga kama walivyo wenzako wasiojuwa kitu?Ananajisi kivipi?