GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mletapost ni c_ho_ko
Yaani uingize team uwanjani kushindana na mtu ambaye mara zote game haiishi bila mashabiki wako kuuliwa ,kuumizwa na kibaya zaidi unaporwa ushindi hadharani.

Anatokea c_ho_ko mmoja huko anawaona wajinga kwa kutokuingiza team uwanjani ....

you guys mbona mmefikia kiwango cha juu kabisa cha udumavu wa akili aisee.

Binafsi naona njia iliyotumiwa na CHADEMA ni njia bora kabisa kuwahi kutokea Afrika , kama Taifa linaingia kwenye Uchaguzi wa haki likubali kufanya reforms kama lengo la Uchaguzi ni kwajili ya maigizo wacha huo Uchaguzi ufanywe na wapumbavu wenzao watakaoshorikiana nao ... period
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Kumbe JF kuna viazi walidhani kuwa wananchi wanaposema no election ni kuwa uchaguzi hautofanyika?
Utafanyika ila mtafanya wenyewe
 
Kwani ratiba ndio uchaguzi? kwani hao CHADEMA walisema wanazuia ratiba ya uchaguzi au watazuia uchaguzi, una haraka sana subiri hiyo Octoba, kwani umesahau hapo Zanzibar uchaguzi ulifanyika ukafutwa halafu wakapanga ratiba mpya na uchaguzi ukafanyika upya
Hahaaaa kwa hyo chagadema wanasubiria ufutwe washiriki sio au watazuia magari ya mabakabaka kupeleka masanduka vituoni naitamani hii movie niione hahaaa
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Huu upumbavu wako kaa nap huko gheto kwa ibirisi wa ccm mnapokaa mkivuta Bangi, Chadema haiwezi kuwa chali kwani ipo moyoni mwa wapenda haki kote Duniani, Uchaguzi haramu wa kishetani hauifanyi chadema kuwa chali kwani chadema hawajajitoa wenyewe bali ni kwa kufanyiwa hila vituko uonevu manyanyaso kutekwa kuuawa kubambikiwa kesi za uongo na ibirisi wa ccm
 
Mletapost ni c_ho_ko
Yaani uingize team uwanjani kushindana na mtu ambaye mara zote game haiishi bila mashabiki wako kuuliwa ,kuumizwa na kibaya zaidi unaporwa ushindi hadharani.

Anatokea c_ho_ko mmoja huko anawaona wajinga kwa kutokuingiza team uwanjani ....

you guys mbona mmefikia kiwango cha juu kabisa cha udumavu wa akili aisee.

Binafsi naona njia iliyotumiwa na CHADEMA ni njia bora kabisa kuwahi kutokea Afrika , kama Taifa linaingia kwenye Uchaguzi wa haki likubali kufanya reforms kama lengo la Uchaguzi ni kwajili ya maigizo wacha huo Uchaguzi ufanywe na wapumbavu wenzao watakaoshorikiana nao ... period
Uchoko mnaijua nyinyi na Mwenyekiti wenu ambaye bwana wake Robert Amsterdam anapigania huko Ubelgiji
 
ibirisi wa ccm wamesahau kuwa Dunia inajua vituko vyote wanavyowafanyoa chadema
 
ibirisi wa ccm wamesahau kuwa Dunia inajua vituko vyote wanavyowafanyoa chadema
ibirisi ni mnyama gani? Hebu nenda kasome hata elimu ya ngumbaro ndiyo uingie JF
 
Uchoko mnaijua nyinyi na Mwenyekiti wenu ambaye bwana wake Robert Amsterdam anapigania huko Ubelgiji
ccm inakwama kwa kuwa na watu wajinga kama nyinyi eti ndiyo Watetezi wa ccm mitandaoni, Lisu alikwenda Ubelgiji kisa nyinyi ccm kutaka kumuua kwa kumpiga Risasi, kama si unyama wako Lisu asingemjua huyo wakili Amsterdam, mateso yako kwa chadema ndiyo yameupaisha chadema kote Duniani
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Utunge basi na taarabu maana naona wee bingwa wa mipasho. Kama nakuona unavyo pita mtaani umevaa na kushikilia kijola ukiimba ratiba ya uchaguzi
 
Tangazo la tume lina picha ya mgombea, hilo ni tangazo au ni kampeni.....🙄
 
CHADEMA wanafikiri wao pekee ndio wana haki ya kuamua hatima ya nchi? Hiyo ni jeuri haikubalili! Wanatumia mitandao kama majukwaa ya kusambaza propaganda zao, wakijifanya wawakilishi wa wananchi wakati wanakataa hata kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia. Badala yake, wanapiga kelele tu ili kuvuruga na kuleta machafuko. Hii ni siasa ya kelele, si ya maendeleo. Watanzania hawahitaji wanasiasa wanaotaka kuvunja nchi kwa sababu hawapendi sheria za mchezo. Tunahitaji viongozi wanaoweza kushindana, kushawishi, na kuwashirikisha wananchi bila vitisho au chokochoko.
Chadema ndiyo chama cha ukweli na uwazi vyama vingine vya upinzani ni vyama chawaccm kama chauma ubwabwa tawi la ccm, chadema ndiyo nguzo ya mageuzi Ndiyo maana ccm inawateka inawaua inawabambikia kesi za uongo
 
Uchaguzi wa mwaka huu utapooza saana tokea vyama vingi virudishwe
Hakuna chaguzi
Nyie CDM mumezoea kukaririshwa maneno na akina Tundu au Maria Sarungi ma Mange Kimambi. Wanayoongea viongozi wenu akina Heche ndiyo mnayoongea nyinyi. Maana unasema tu Samia na genge lake wana najisi nchi. Sasa nataka uniambie wanavyo najisi. Siyo kuandika sweeping statements tu.

Mnakaririshwa na wadada malaya akina Maria nanyi kazi kuropoka kama kasuku
kazi ya chama cha upinzani ni kuikosoa Serikali ya ccm, kazi ya chadema ni kuikosoa ccm yenye mapungufu mengi yenye uonevu manyanyaso utekaji mauaji na kuwabambikia kesi za uongo chadema, wapinzani wa kweli ni wale hukosoa matendo maovu yote yanayotendwa na ibirisi wa ccm, ambao unatumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kuidhoofisha kuihujumu chadema badala ya kuyatumia kuleta maendeleo
 
Kwa hIyo mwenyekiti wenu kamshinda wetu kura na hivyo wenu anapendwa zaidi?
Sera za ccm kwa sasa ni kuwabambikia kesi za uongo kuwaua kuwateka kuwanyanyasa kuwaonea chadema, hawana jipya, hawataki kuleta maendeleo pesa zote wamezielekeza kwenye kuudhofisha chadema kuipataka kuilea chauma ubwabwa chama chawaccm
 
Back
Top Bottom