GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Uchaguzi upi?
Yaani kabisa mmekaa mnafikiri mtaufikia huo uchaguzi?
Nawapa pole hangaikeni ila uchaguzi hamtaufikia ,nimekaa pale
 
Watanzania ndio wameshabadilika hivyo ni suala la a muda tu,nchi hii hadi sasa bila shaka yoyote Iko vipande viwili weather you like or not sasa swali la msingi ni kipande gani chenye watu wengi cha NO REFORMS NO ELECTION au cha TUNATIKI muda ni mwalimu.
 
Ngoma imenoga baba NO REFORMS NO ELECTION SIO TU INATISHA BALI INAOGOPEKA USIPIME NA SOON UTAWALA DHALIMU UTAANGUKA WW KAA MKAO WA KULA tupo hapa na tuweke akiba ya maneno,sikuzote ukimshangilia na kumtetea MWIZI NI KWA SABABU ZAMU YAKO YA KUIBIWA HAIJAFIKA.
 
Ukiwa mzoga hata uambiwe mara ngapi huwezi kutambua kinachosemwa. Kwa nini kupoteza muda.
Huna unalijuwa zaidi ya chuki kwa utawala wa Samia. Utakufa kwa kijiba cha roho
 
Watanzania ndio wameshabadilika hivyo ni suala la a muda tu,nchi hii hadi sasa bila shaka yoyote Iko vipande viwili weather you like or not sasa swali la msingi ni kipande gani chenye watu wengi cha NO REFORMS NO ELECTION au cha TUNATIKI muda ni mwalimu.
Hata viwe vipande 50, bado CCM will prevail. Nchi yetu haiwezi kuongozwa na genge la CHADEMA
 
Nimekwisha sema, na narudia. Siwezi kuacha uchafu utamalaki. Nitafanya kila juhudi kuusafisha ili usibughudhi watu.
Sasa nimeiona kuna mzoga hapa unaoza na unawasumbua watu. Ni jukumu langu kuweka mazingira safi ili watu wasiate adha.
Umenielewa, mzoga! Mada yako ni takataka./uchafu.
Wewe mwenyewe ni mzoga na unanuka unawezaje kujua harufu ya mzoga. Jitu zima limetawaliwa na chuki utafikiri linakula sementi badala ya chakula. Mada za chuki kuanzia asubuhi mpaka jioni. Kufa na umaskini wako, hata Heche na Lissu wakipata madaraka hawatakuletea chakula mezani.

Fanya kazi ndugu, acha ubingwa wa mawazo ya JF
 
Sasa mbona mnalazimisha watu wagombee uchaguzi!

NRNE maana yake ni kwamba bila reforms CCM mtapita bila kupingwa, maana yake hakuna uchaguzi.

Sasa ni uchaguzi gani wakati CCM mnagombea peke yenu?

Acheni maigizo, okoeni gharama.

Hao wabunge na madiwani wa CCM wataksopitishwa kugombea watangazwe washindi, waende bungeni wakagonge meza walipwe posho wale bata.

Kwani kitu gani! Kuleni maisha CCM, ni wakati wenu kula keki ya taifa.
Nani kakuambia CCM iko peke yake? Yaani hujaona ACT, NLD, TADEA, CUF, CHAUMMA etc
 
Hivi utawekaje simba na simba kucheza halafu useme yanga ameshinda? Hii kitu ni mbaya inayotengenezwa kuja kuirudisha kwenye reli itachukua muda hakuna kitu kibaya kama kufanya Kazi kwa kupigiwa kelele...
Huu ni uchaguzi wa 7 wa vyama vingi na siyo Simba na Simba vinashiriki bali Simba na vyama vingine 18. Ila mwaka huu kuna chama kinataka tusikie maoni yake tu
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr

Umependekezwa mkuu? Au unasindikiza tu na wewe kama hao manabii unaowataja?
 
Uchaguzi upi?
Yaani kabisa mmekaa mnafikiri mtaufikia huo uchaguzi?
Nawapa pole hangaikeni ila uchaguzi hamtaufikia ,nimekaa pale
Wewe usiishie kukaa, lala kabisa. Sisi tarehe 29 OKTOBA tunatiki
 
Ngoma imenoga baba NO REFORMS NO ELECTION SIO TU INATISHA BALI INAOGOPEKA USIPIME NA SOON UTAWALA DHALIMU UTAANGUKA WW KAA MKAO WA KULA tupo hapa na tuweke akiba ya maneno,sikuzote ukimshangilia na kumtetea MWIZI NI KWA SABABU ZAMU YAKO YA KUIBIWA HAIJAFIKA.
Hiyo ngoma inatisha kwenye mitandao tu, huku ground watu wanasubiri kinyang'anyiro kianze
 
Umependekezwa mkuu? Au unasindikiza tu na wewe kama hao manabii unaowataja?
Hapo ndiyo shida yenu wenye akili ndogo inapoanzia. Unadhani kila anaye sapoti CCM ni mgombea au mnufaika. Itoshe tu kukusanua kuwa hizo NRNE ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom