Tanzania hakuna Uchaguzi kuna maigizo ya uchaguzi haramu wa kishetani unaoendeshwa na ibirisi watesi ccmTangazo la tume lina picha ya mgombea, hilo ni tangazo au ni kampeni.....🙄

You still don't get it, do you?Chadema hapo tu mimi ndio niliwashangaa kwa Tanzania hii hakuna wa kupinga uchaguzi labda CCM wenyewe
Uchaguzi ukiwa Huru na Haki ccm lazima ipotee na kuwa kama KANU ya kenya , hakuna mpenda haki ataichagua ccm, mateso manyanyaso kuwaua kuwateka kuwatesa kuwapora Luzuku, kuwabambikia kesi chadema ndivyo vimepelekea ccm kulaaniwa kote Duniani
Aliyetaka kumuua Lissu ni Magufuli, kisha akawa mkimbizi huko. Aliyemleta Lissu nyumbani na kumlipa stahiki zake ni Samia.ccm inakwama kwa kuwa na watu wajinga kama nyinyi eti ndiyo Watetezi wa ccm mitandaoni, Lisu alikwenda Ubelgiji kisa nyinyi ccm kutaka kumuua kwa kumpiga Risasi, kama si unyama wako Lisu asingemjua huyo wakili Amsterdam, mateso yako kwa chadema ndiyo yameupaisha chadema kote Duniani
Na hatufanyi makosa ya KANU. Baada ya KANU kutoka ni nini cha maana Kenya wamepata zaidi ya mauajiUchaguzi ukiwa Huru na Haki ccm lazima ipotee na kuwa kama KANU ya kenya , hakuna mpenda haki ataichagua ccm, mateso manyanyaso kuwaua kuwateka kuwatesa kuwapora Luzuku, kuwabambikia kesi chadema ndivyo vimepelekea ccm kulaaniwa kote Duniani
Hakuna namna wanaweza kurudi kwa vile walikataa kusaini kanuni za maadili ambazo ni takwa la lazima kwa vyama vinavyoshiriki
Ukiwa mzoga hata uambiwe mara ngapi huwezi kutambua kinachosemwa. Kwa nini kupoteza muda.Kelele tu za Samia ana najisi ila huwezi kusema ana najisi kivipi?? Nyie mtaishia kulia lia mitandaoni wakati fursa zinawapita. Wenye akili wanatengeneza fedha, wajinga mmekalia majungu
Nimekwisha sema, na narudia. Siwezi kuacha uchafu utamalaki. Nitafanya kila juhudi kuusafisha ili usibughudhi watu.Ingekuwa mada takataka, unge IGNORE. Kitendo cha kushiriki na kuandika posts zaidi ya 5 kunijibu inaonekana mada yangu imebamba. Hii pekee ni post #137.
Labda wewe ndiyo takataka
Sasa mbona mnalazimisha watu wagombee uchaguzi!View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.
Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.
Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko
cc Mshana Jr
View attachment 3421613

MakadirioHiyo 30% umeipataje?
Wewe nadhani ndiyo unashindwa kuchambua hali ya kisiasa nchini.Mojawapo ya Kanuni za Msingi kabisa katika Sayansi ya Vita inasema kwamba, ili kumlazimisha Adui yako au hasimu wako aweze kuja katika meza ya mazungumzo ya mapatano ya kumaliza vita, basi ni lazima umfanye adui yako huyo naye adhoofike na kupoteza katika uwanja wa mapambano.
CHADEMA waneshindwa kusoma alama za nyakati na kuweza kuitumia Kanuni hii.
Doria Mtandaoni hili jina umeanza kujiita lini? 😄 🤣 😂Wewe nadhani ndiyo unashindwa kuchambua hali ya kisiasa nchini.
Mechi ya ccm na ccm-Chawa vyama vya kujikomba ccm, ni ushindani kati ya ccm ibilisi vs ccm wanafiki yaana akina ACT CUF Chauma ubwabwa na wenzao, Kwa kifupi hakuna Uchaguzi Tanzania kilichopo sasa ni maigizo haramu ya kishetaniHivi utawekaje simba na simba kucheza halafu useme yanga ameshinda? Hii kitu ni mbaya inayotengenezwa kuja kuirudisha kwenye reli itachukua muda hakuna kitu kibaya kama kufanya Kazi kwa kupigiwa kelele...
Kumbe nilitajwa hapa.. Kweli NRNE iliwabamba wengi✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿💪🏿🔨View attachment 3421613