Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
- Thread starter
- #121
Ungekuwa unasogelea bunduki, leo hii usingekuwa unaandika hapa. Nyinyi kazi zenu ni kuwajaza ujinga vijana kama akina Mdude_Nyagali au Deusdedith Soka wawnde front huku nyinyi mumebaki sebuleni mkiangalia mkong'oto toka kwenye TV.Sasa unataka tutoke kwenye majadiliano ya kistaarabu tuanze kuzozana; na mimi huwa nipo tayari sana kwa hilo.
Unavyotaka kujionyesha ulivyo juha; wewe kwenye hiyo keyboard unafanya kitui gani?
Au unadhani kutegemea bunduki za waTanzania ndiyo kinga; hujui bunduki hizo zinaweza kuwaelekea wapumbavu nyinyi wakati wowote?
Bila hizo bunduki, wewe hata sasa ungekuwa unajikojolea kwenye chupi, kwa kujua uovu wenu utakomeshwa karibuni.
Hopeless Kabisa kujadili chochote na machizi kama wewe.
Tundu huyo yupo Ukonga anasota na nyinyi kazi yenu ni kuandika hashtag tu #FreeTundu Lissu