GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa maoni yangu naona NRNE imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa maana hadi sasa watakaoenda kupiga kura hawafiki 30% ya waliojiandikisha naamini hivyo, kwahiyo NRNE haipo hadharani ila kwenye akili za watanzania hadi sasa kuna "sitoenda kupiga kura"
Tuweke uvyama pembeni.
Tatizo ni hiyo 30%; kwa maana ikipatikana tu, Samia na GENGE wanajitangazia ushindi, tena kwa furaha kuu kabisa.
Lakini usisahau pia kwamba hayo masanduku ya kura yatajazwa na kura FEKI!

Kwa hali ilivyo angwa sasa hivi; hata 10% wakijitokeza kuiga kura; masanduku yataonyesha 40 au zaidi waliiga kura na **** ushindi Samia!

Kuzuia ujinga huu, ni lazima zipatikane njia za kuzuia uchaguzi usifanyike kabisa. Njia za kufanya hivyo zipo.
 
Hata wangeshiriki CCM isingewapa jimbo hata moja kwa sheria na kanuni za sasa za uchaguzi ni bora kutoshiriki tu uchaguzi. Hata hao wanaoshiriki upande wa upinzani wanapoteza muda tu.
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Hoja za kipumbavu mno kutoka kwa wapumbavu wale wale,, CCM ni waopumbavu mno, eti serikali, serikali au kichaka cha wezi?
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr

Kwani ulidhani NRNE ilikuwa kutikisa kiberiti?
 
Kwani wewe unaona kuna dalili za uchaguzi?
 
Kuwa sisiem sio lazima uwe mjinga bhana!

Nionyeshe ni wapi Chadema walisema watazuwia ratiba wala kampeni
Napingana nawe ndugu.
Ukiwa CCM, akili zote unaziacha huko nnje ya chama, kwao mwenye akili pekee na anayefikiri badala yao ni mwenyekiti pekee.
downloadfile-2.jpg
 
Ila Yericko Nyerere naye ametumikA sana kuhujumu mchakato wa NRNE.

Anyway sisi wengine hatukubaliani na mfumo wa vyama vingi tunawaacha mtifune wenyewe

Bara la africa linajipotezea muda na rasilimali zake kwa kukumbatia huu mfumo wakijinga wa vyama vingi

Mnatoza kodi badala ya kuzitumia kwenye maendeleo nyinyi mnaenda kununua wino wa kuweka kwenye kidole cha kupigia kura.

Tutengeneze mifumo mizuri ambayo inaendana na roho mbaya zilizojaa ujinga ambazo tumeumbwa nazo sisi ngozi iliyojaa giza na vichwa kama pumb#u

Unapeleka wabunge 300 bungeni for what? Mkuu wa wilaya,mkurugenzi,das, mkuu wa mkoa wote hao hawatoshi kutoa mawazo chanya mpaka tunapeleka wala kodi na wapiga makofi

Africa hasa Tz wabunge 40 tu wanatosha kutunga sheria pamoja na kuihoji serikali
Ogopa kijana kuwa mchawi, badala mambo ya kusaidia nchi ,unawekeza kwenye uchawi, alafu mseme Afrika itaendelea kweli
 
CCM bana...CHADEMA hawataki kushiriki lkn mnaumiiiiiiaaaaa....hadi hampati usingizi,nini shida?
Wao ndiyo wanaendelea na hiyo No Reforms No Elections, kama hawataki wangefunga midomo yao
 
Haijawa mpaka iwe nduguyangu hivyo usishangilie saaana, kwa vile mbaya wako bado yuko hai usijitape saaana. Wadigo tunasema ‘usinene ukamara’
Imekwisha hiyo, hakuna pimbi anaweza kuzuia uchaguzi uliopo kikatiba. Haya mambo ya NRNE tako mitandani tu
 
Back
Top Bottom