GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo ndiyo shida yenu wenye akili ndogo inapoanzia. Unadhani kila anaye sapoti CCM ni mgombea au mnufaika. Itoshe tu kukusanua kuwa hizo NRNE ni upuuzi.

Sasa tofauti yako na hao wenye akili ndogo ni nini?
 
Usiwe mpuuzi kiasi hiki, mabadiliko ni kama upepo, ni sawa na hali ya hewa huwezi kuzuia mabadiliko ya hali ya hewa ikiamua kubadilika automatically hubadilika tu mjuba
 
Nani kakuambia CCM iko peke yake? Yaani hujaona ACT, NLD, TADEA, CUF, CHAUMMA etc
Acha kujidai mwendawazimu wakati una akili timamu.

Hivyo vyama vilivyoundwa na CCM, na vinafanya kampeni kwa udhamini wa CCM unaita ni vyama vya upinzani?

Tangazeni kuwa hao wabunge waliopitishwa kugombea kuwa ni washindi, mtangaze na hayo majimbo mliyopanga kuwaachia CHAUMA halafu Samia mitano tena.

Acheni kutupotezea muda.
 
Hizo siyo shida zetu
 
Huna unalijuwa zaidi ya chuki kwa utawala wa Samia. Utakufa kwa kijiba cha roho
Mzoga mwenzio, anaye jitambulisha kama 'Steven Joel Ntamusana' anapenda sana kuitumia hoja hii ya kumchukia Samia Suluhu Hassan; na nilisha mjibu karibu mara tano hivi, na huwa hachoki kuniletea hoja hiyo kila mara.

Sasa na wewe unaileta hapa na nitakujibu; na naomba usiniletee hiyo hoja tena.

Ni hivi: ni kweli kabisa ninamchukia Samia Suluhu Hassan; kama vile vile ningemchukia kiongozi mwingine yeyote anaye itendea maovu Tanzania na waTanzania.
Sina lolote la kumpendea kiongozi anaye vuruga utulivu wa nchi hii.

Umenielewa?
 
Wewe mwenyewe ni mzoga na unanuka unawezaje kujua harufu ya mzoga. Jitu zima limetawaliwa na chuki utafikiri linakula sementi badala ya chakula. Mada za chuki kuanzia asubuhi mpaka jioni. Kufa na umaskini wako, hata Heche na Lissu wakipata madaraka hawatakuletea chakula mezani.

Fanya kazi ndugu, acha ubingwa wa mawazo ya JF
Kama ni "chuki" usifikiri hilo litanitikisa kwa vyovyote. Ndiyo ninayo chuki kabisa kwa watu wa hovyo kabisa kama mlivyo nyinyi; watu mnao chochea CHUKI miongoni mwa waTanzania.
Nitaachaje kuwa na chuki dhidi yenu?
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
NRNE sio ya wanaharakati. Jirekebishe wewe chawa!
 
Acha kujidai mwendawazimu wakati una akili timamu.

Hivyo vyama vilivyoundwa na CCM, na vinafanya kampeni kwa udhamini wa CCM unaita ni vyama vya upinzani?

Tangazeni kuwa hao wabunge waliopitishwa kugombea kuwa ni washindi, mtangaze na hayo majimbo mliyopanga kuwaachia CHAUMA halafu Samia mitano tena.

Acheni kutupotezea muda.
Endeleeni na tonetone
 
View attachment 3421613
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No Reforms No Elections. Na kwamba uchaguzi utasogzwa labda hadi Januari 2026.

Ratiba imetoka hiyo hapo juu na uchaguzi ni tarehe ileile 29/ Oktoba/ 2025.

Funzo:-
1. Serikali haitishiwi nyau hata siku moja
2. Huwezi kubadili mfumo ukiwa nje ya mfumo. Gombea uchaguzi, ingiza wabunge wako kidogo halafu pambana
3. Ukisusa sisi twala
4. Kuwategeme wazungu (European Parliament, IDU etc) ndiyo wawasaidie kwenye makongamano ni kupoteza muda
5. CHADEMA kaa mbali na Maria Sarungi. Anaishi kwa kulipwa na Ford Foundation ili kuleta chokochoko

cc Mshana Jr
Wewe jamaa ni mpumbavu sana. Ulitegemea waingie kwenye uchaguzi kwenda kuidhinisha ule ungese wa 2019, 2020 na 2024 !? Wewe kweli punga.

Binafsi uchaguzi wa 2020 ndio ulikuwa wa mwisho kupiga kura, huo wa 2024 nilijua itakuwa ungese ule ule, na ni kweli, kile nilichokihofia ndicho kilitokea. niliokoa muda wangu kwa kufanya mambo yangu mengine. Nyie ccm ni wangese sana. Qmmmae zenu.
 
Kwa hiyo tayari uchaguzi umeisha tuanze kushangilia?
kama bado,weka maneno ya akiba mpaka tujue alipo polepole.
 
Mzoga mwenzio, anaye jitambulisha kama 'Steven Joel Ntamusana' anapenda sana kuitumia hoja hii ya kumchukia Samia Suluhu Hassan; na nilisha mjibu karibu mara tano hivi, na huwa hachoki kuniletea hoja hiyo kila mara.

Sasa na wewe unaileta hapa na nitakujibu; na naomba usiniletee hiyo hoja tena.

Ni hivi: ni kweli kabisa ninamchukia Samia Suluhu Hassan; kama vile vile ningemchukia kiongozi mwingine yeyote anaye itendea maovu Tanzania na waTanzania.
Sina lolote la kumpendea kiongozi anaye vuruga utulivu wa nchi hii.

Umenielewa?
Utakufa na kijiba cha roho na umaskini wako. Kwendraaaa
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana. Ulitegemea waingie kwenye uchaguzi kwenda kuidhinisha ule ungese wa 2019, 2020 na 2024 !? Wewe kweli punga.

Binafsi uchaguzi wa 2020 ndio ulikuwa wa mwisho kupiga kura, huo wa 2024 nilijua itakuwa ungese ule ule, na ni kweli, kile nilichokihofia ndicho kilitokea. niliokoa muda wangu kwa kufanya mambo yangu mengine. Nyie ccm ni wangese sana. Qmmmae zenu.
Tunatiki Oktoba na huna la kutufanya. Bladifakeni
 
Back
Top Bottom