Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, leo mechi za kombe la mabara zinaanza rasmi nchini Urusi. Nimeangaza hapa sijaona ratiba ya mashindano hayo, yawezekana wana soka wenzangu hapa JF wamesahau hivo kwenye uelewa wa ratiba ya mashindano haya atupie.
 
Group A
  • Today, Russia-New Zealand saa 12:00 jioni
  • Tomorrow, Portugal-Mexico saa 12:00 jioni
Group B
  • Sunday 18 june, Cameroon-Chile, saa 3:00 usiku
  • Monday, Australia-Germany, saa 12:00 jioni
Group A
  • Wednesday 21 june, Russia-Portugal saa 12:00 jioni
  • Wednesday 21 june, Mexico-New Zealand saa 3:00 usiku
 
Kwanini Argentina haipo?
 
Bara la africa tunawakikishwa na Cameroon..

Europe wano wana wakilishwa na portugal ila germany ameingia kama bingwa wa kombe la dunia

South America ni Chile

North america ni Mexico

Australia wao wanawakilisha bara lao pia

New Zealand. Nadhani wanawakilisha Asia

Ila russia yeye ndo mwenyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…