BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Aisee halafu huu utaratibu waliokuja nao unaondoa kabisa radha ya mpira, yaani mnasubiri ruhusa hili muweze kushangilia...
Kumbe bora ya sep Blatter aise. Hiki kijamaa kimekuja ku2haribia ladha ya mpira.