Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

Mkuu, pana watu wa ajabu sana nchi hii. Ni sawa na ule msemo usemao 'kipofu akiona mwezi basi kila kitu atafananisha na mwezi'. Hawa hawabadiliki na hawataki kufahamu nje ya England pana soka murua sana kwengine.

Ni kweli kabisa mkuu, nje na EPL hakuna michuoano mingine mikubwa wanaofuatilia ki ukaribu si unaona hapo kuna waliouliza kwanini Brazil haimo
 
Ni kweli kabisa mkuu, nje na EPL hakuna michuoano mingine mikubwa wanaofuatilia ki ukaribu si unaona hapo kuna waliouliza kwanini Brazil haimo
Haya ni majanga mkuu. Kisoka ndo hivi je mambo mengine itakuwaje? Ndo hawa wanaobadilishiwa almasi zao kwa vipande vya chupa na wanafurahia kwelikweli.
 
Wanafunga penati na sasa ni ujerumani ni 2 Australia moja 1
 
Mchezo ushawaelemea Australia. Kwa kundi hili Cameroon anakazi si kitoto kama kweli anataka kutoboa.
 
Australia wanapata goli la pili . lakini wanasubiria majibu ya video
 
Huu utaratibu (kusubiria ofisa wa nne wa mchezo) kweli unaharibu mzuka wa mpira.
 
Back
Top Bottom