Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

[emoji117] go follow: chelseafc.tanzania kwenye instagram
 
Mechi inaendelea Urusi anaongaoza kwa goli moja dhidi ya New Zealand. Kipindi cha kwanza kinaelekea kuisha.
 
Oyaa huu ni Uzi wa FIFA confederation cup na kinachopostiwa hapa ni kile kinachohusu mechi za kombe la mabadala.

Sasa wewe hizo habari cha Chelsea peleka kwenye nyuzi za Chelsea,

Anyway unaangalia game?
Nlisepa.. Ila Russia 1 bila Half time
 
Shukrani sana mkuu
 
Germany
Draxxer, Thomas Mueller, Sebastian Shwarzetaiger Lazima waue mtu kesho na kombe wanachukua awa jamaa
 
Asante [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Pooooouwa mkuu.
 
hvi Asia wamewakilishwa na nchi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…