Mkuu, pana watu wa ajabu sana nchi hii. Ni sawa na ule msemo usemao 'kipofu akiona mwezi basi kila kitu atafananisha na mwezi'. Hawa hawabadiliki na hawataki kufahamu nje ya England pana soka murua sana kwengine.
Haya ni majanga mkuu. Kisoka ndo hivi je mambo mengine itakuwaje? Ndo hawa wanaobadilishiwa almasi zao kwa vipande vya chupa na wanafurahia kwelikweli.Ni kweli kabisa mkuu, nje na EPL hakuna michuoano mingine mikubwa wanaofuatilia ki ukaribu si unaona hapo kuna waliouliza kwanini Brazil haimo
Chile wanabebaGermany
Draxxer, Thomas Mueller, Sebastian Shwarzetaiger Lazima waue mtu kesho na kombe wanachukua awa jamaa
Newzealand labda ndo mwakilishiINA maana Asia haina muwakilishi?
Aliyeingia kutokea Asia ni Australia (ametokea shirikisho la Soka linalounganisha na nchi za ASIA)Newzealand labda ndo mwakilishi
Limekubaliwa mbili kwa tatu.Australia wanapata goli la pili . lakini wanasubiria majibu ya video
. lakini wanasubiria majibu ya video
kweli yaani inaondoa ule mzuka kabisaAisee halafu huu utaratibu waliokuja nao unaondoa kabisa radha ya mpira, yaani mnasubiri ruhusa hili muweze kushangilia...
Michuano imekuwa ya ovyo sana sababu ya introduction ya huo upuuzikweli yaani inaondoa ule mzuka kabisa