BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Aisee halafu huu utaratibu waliokuja nao unaondoa kabisa radha ya mpira, yaani mnasubiri ruhusa hili muweze kushangilia...
Kabisa na bado kitaharibu sana, subiri 2022 uone kwa Mara ya kwanza WC itakuwa na timu shiriki zaidi ya 40 yaani mnaangalia michuano miezi miwili mpaka ntaichokaKumbe bora ya sep Blatter aise. Hiki kijamaa kimekuja ku2haribia ladha ya mpira.
Kabisa na bado kitaharibu sana, subiri 2022 uone kwa Mara ya kwanza WC itakuwa na timu shiriki zaidi ya 40 yaani mnaangalia michuano miezi miwili mpaka ntaichoka
1-1 mpaka sasa 2nd halfHii mechi ya chile na ujerumani iko moto sana. Chile anaongiza moja. Goli la Sanchez.