Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo tangulia Yesu akukumbatie milele. Tutakutana Sayuni asubuhi ile nzuri.Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄
Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe.
Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani View attachment 3160674Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada.
Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa ajiri ya kumpumzisha mpendwa wetu.
Tujitokeze wapendwa kwa ajiri ya kumuaga mpendwa wetu.