Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

Vichwa vigumu
Pamoja na korona kuendelea kututandika,ni kama vile hatujifunzi chochote!

Badala ya kupunguza mikusanyiko ili kupunguza kiwango cha usambaaji wa kirusi ndio tunaongeza mikusanyiko.

Sisi ngozi nyeusi ni vichwa maji kwelikweli!
 
Kujitayarisha kufanya nini?
 
Wanajaribu kujustify matumizi ya 180 billions walizochota BoT.
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Kuna habari zinaendelea kuzunguka kuwa jamaa zake wa karibu kiofisi walishapiga 180 billion
 
😭😭Daah! hayo maneno hadi chozi limenibubujika
 
Huyu na chalamila hawakutakiwa kuwa ofisini
 
Pamoja na korona kuendelea kututandika,ni kama vile hatujifunzi chochote!

Badala ya kupunguza mikusanyiko ili kupunguza kiwango cha usambaaji wa kirusi ndio tunaongeza mikusanyiko.

Sisi ngozi nyeusi ni vichwa maji kwelikweli!
Wacha waendelee kupunguza idadi ya watu nchini
 
Bado mnaendelea kusambaza corona! Sawa ngoja tuone wagonjwa na vifo vikiongezeka kwa kasi
 
Pamoja na korona kuendelea kututandika,ni kama vile hatujifunzi chochote!

Badala ya kupunguza mikusanyiko ili kupunguza kiwango cha usambaaji wa kirusi ndio tunaongeza mikusanyiko.

Sisi ngozi nyeusi ni vichwa maji kwelikweli!
Mh uzalendo kwanza,mengine baadae
 
only for dunderheads
 
Alifia ule mkoa Mkuu wa upinzani. Ule ambao ilihakikishwa unakuwa demoted kuwa mkoa wa kawaida. Wabaya wake ndiyo wanaanza kumuaga.

Nawatakieni kuaga kwema.

Mipango ya mwanadamu si mipango ya Mungu.

Viongozi tutawaliwe na Busara.
 
Geita na Mwanza ni karibu karibu sana... Binafsi naona ingekuwa Mbeya, Dodoma Mwanza na Lindi... Geita isihesabike kwa vile ndo atakakozikwa
Huo mkoa wa Korosho!!!!! Jeneza kama halitaunguaa na kufuka Moshi basi litapasuka vipande#Ruangwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…