Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha

1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia

2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini

3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi

4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu

5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya

6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara

7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao

8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc

9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"

10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato

11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja

12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu

13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu

Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.

Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa

Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
 
Says Mr perfect....

Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.

Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita.

Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbasi amebainisha hayo baada ya kikao kazi cha kupanga na kuratibu ratiba nzima ya kuagwa na mazishi ya hayati Rais John Pombe Magufuli. Kikao hicho kiliwahusisha mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.

Msemaji huyo wa Serikali amewataka wananchi wote kujitayarisha na kuendelea kutulia huku mipango yote ikiandaliwa.
Wanaitesa sana Maiti kote kuizungusha ili iweje?

Angeagwa kitaifa Dar au Dodoma na kwao Chato. Waache ufujaji wa pesa za walipa kodi.
 
Huko kote mnatumia gharama au bure.enzin mzeewetu .kweli magufuli alikua pekeake mana wengine tunasika tayari wako chini ulinzi
 
Kuichosha familia na JPM mwenyewe hakuwa mtu wa grandeur hizo. Pia Covid bado ipo.

Sioni sababu ya kuaga Dar na Mwanza.
 
Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.

Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita.

Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbasi amebainisha hayo baada ya kikao kazi cha kupanga na kuratibu ratiba nzima ya kuagwa na mazishi ya hayati Rais John Pombe Magufuli. Kikao hicho kiliwahusisha mawaziri, manaibu mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.

Msemaji huyo wa Serikali amewataka wananchi wote kujitayarisha na kuendelea kutulia huku mipango yote ikiandaliwa.
Anatutaka "tuendelee kutulia..."

Kwani kaona wapi wananchi wamegeuka wehu? Yeye ndio atulie...

Ukifiwa unaambiwa pole, sio TULIA!
 
1616097536441.jpeg
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinapendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
DSM na Chato ingetosha kwa kuaga - msiba ukihisha, basi mama S. Hassan atafute an independent Auditors wakague gharama alisi zilizo tumika kwenye shughuli nzima - wajanja wasije tumia janga hili kufanya mambo ya ndio sivyo - kumbukeni sherehe za kitaifa zilivyo kuwa zinali cost Taifa letu an arm and leg unnecessarily.
 
Nina wasiwasi Mkuu hizi tarehe zote si za kweli. Kama unavyojua hata kutangazwa jana kusingetokea kama si JWTZ kuingilia kati maana Wasukuma bado walikuwa wanamtafuta mtu wao ili waendeleze ukabila nchini.
Duuuh [emoji848]
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinapendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Kweli aisee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Siwezi kwenda kumuaga Marehemu Raisi japo Ningependa, ila kwa hali hii ya pandemic hatari kuwahi kutokea nami Spana mkononi na nilipigwa sana wakati wa Uchaguzi mkuu uliopita kwa sababu tu ya kumpelekea chakula msimamizi wetu wa Chadema

Ningependa nimuone Marehemu Magufuli kwa mara ya mwisho kama nilivyomuona Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere nawashauri wastaafu wake makini sana sana
 
Back
Top Bottom