Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ratiba ya kutoa heshima kwa Mahabusu iko wapi?View attachment 3675615taarifa ya kutoa heshima ya mwiaho
Ratiba ya kutoa heshima kwa Mahabusu iko wapi?View attachment 3675615taarifa ya kutoa heshima ya mwiaho
Kama na wao hawajaua basi kweli kifo ni fumboHao maaskari watatu wa mwisho, wanaonakena hata miaka 33 hawajafika
Kifo ni fumbo
Poleni wafiwa
Good they’re dead. Fucuk their dead assessView attachment 3675615taarifa ya kutoa heshima ya mwiaho
😂😂😂Chakula kimewekwa mapema sana wangefanya walau saa saba hivi, huo muda bado waombolezaji wameshiba chai....
Gran pah nikajua nawee awamu hii unakula kwa urefu wa kamba yako?Kama na wao hawajaua basi kweli kifo ni fumbo
Mimi hufurahi nikisikia polisi kafarikiHeshima za mwisho? Kwa heshima zipi labda?
MI sitaki kamba.... Nataka wanifunge kwa mpira wa manati.... Yaani ikifika mwisho bado nakuwa na nafasi ya kujivuta zaidi nile na vya wengineGran pah nikajua nawee awamu hii unakula kwa urefu wa kamba yako?
Wewe huyoo? 😂😂😂MI sitaki manati.... Nataka wanifunge kwa mpira wa manati.... Yaani ikifika mwisho bado nakuwa na nafasi ya kujivuta zaidi nile na vya wengine
Namba 7 ndo la kuzingatia.View attachment 3675615taarifa ya kutoa heshima ya mwiaho
Wakiwa wanateka na kupiga mabuti raia hawa mbwa wanajionaga kama wataishi milele na wakafe tena mara ya pili na ya tatu huko waendako mbwa hawaView attachment 3675615taarifa ya kutoa heshima ya mwiaho
Za kushiriki mauaji ya halaiki ya 29.10.2025.Heshima za mwisho? Kwa heshima zipi labda?
Suala la ajira linafanya vijana wadogo nao watumike kwenye hizo kazi chafuKama na wao hawajaua basi kweli kifo ni fumbo