Ratiba ya kutoa heshima ya mwisho kwa askari Polisi waliofariki kwa ajali ya gari

Ratiba ya kuwaaga Mahabusu iko wapi?
Hawa hata wasipoagwa,ni sawa tu; KIFO NI KIFO TU
 
Hawa watano ilitakuwa waungue moto kwenye ile ajali ili kuokoa muda na matumizi ya kodi za wananchi
 
Kuna vijana ndio wameeanza tu kazi hapo, kutokana na nachafu ya wakubwa zao wanashindwa hata kupata dua njema kwa raiaaa
 
kwa kiasi fulani hao walishika bunduki kuwafyeka watanganyika oktoba 29

Wapumzike kwa amani, mimi sio nnayehukumu
 
Gran pah nikajua nawee awamu hii unakula kwa urefu wa kamba yako?
MI sitaki kamba.... Nataka wanifunge kwa mpira wa manati.... Yaani ikifika mwisho bado nakuwa na nafasi ya kujivuta zaidi nile na vya wengine
 
MI sitaki manati.... Nataka wanifunge kwa mpira wa manati.... Yaani ikifika mwisho bado nakuwa na nafasi ya kujivuta zaidi nile na vya wengine
Wewe huyoo? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama na wao hawajaua basi kweli kifo ni fumbo
Suala la ajira linafanya vijana wadogo nao watumike kwenye hizo kazi chafu

Mara mia mwanao aingie jeshi la Wananchi ama Zimamoto na Uokoaji lakini sio hilo jeshi la Polisi

Wamekuwa watu wa hovyo mno hao jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…