Ratiba ya mapishi ya wiki

Looooooh!!! Naomba nikuoe dear!
 
Habarini humu ndani,

Familia nyingi za Kitanzania tumezoea kila siku ni lazima chakula kiwe ugali mchana, jioni wali. Naomba mwenye uelewa wa chakula bora atusaidie kupata ratiba ya wiki ya mlo kamili kwa ajili ya familia zetu.

Natanguliza shukrani
 
Chai ?menu ya kibongo Inajulikana chai
maandaz,vitumbua,chapat,mihogo /viazi vya kuchemsha,kiporo cha wali/ndizi kama MTU Yuko vizur supu mbuz,ngo'mbe,kuku kwa ndizi za kuchemsha au chapat hainaga bwembwe za kina weetabix na cornflakes ila k.ukwel inabid tujitahid angalau na vimatunda wabongo wenzangu hiyo asubuh ili kuongezea virutubisho maana b.fast kwa mbongo wa kawaid iko very serious.
 
na huwa napika mwenyewe

Nakushauri usiku usipende kula chskula kizito kama ugali.ni marufuku labda kams unafanya kazi ngumu sana.pendelea kula matunda na mboga mboga au kama unakula hicho chakula kizito,basi jitahidi ule kabla ya saa moja ili ukienda kulala usiwe umeshiba.asante
 
nimepapenda hapo kwenye ngararum a.k.a makukuru

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]kitu cha makukuru aise.umenikumbusha bibi yangu alikuwa anapenda kuyapika anayasonga hayooo..kitu ukinywa nacho [emoji477]️ leo asubuhi,mpaka kesho yake mchana bado umeshiba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 


Kwa kweli, Ugali ulinishinda kula mchana lazima nisinzie. Hapo ukute mtu kapiga breakfast kitu chapati mchuzi au mtori. Halafu mchana ugali, sijui wanaweza vipi ku survive siku nzima kazini bila kusinzia.
 
Kwa kweli, Ugali ulinishinda kula mchana lazima nisinzie. Hapo ukute mtu kapiga breakfast kitu chapati mchuzi au mtori. Halafu mchana ugali, sijui wanaweza vipi ku survive siku nzima kazini bila kusinzia.
Atasinziaje kazini wakati hana kazi??
 
Ratiba nzuri sana, asante ulieiomba na ulieijibu nimepata na mimi ratiba ya chakula home kwangu
 
wabongo weng pia 2po serious ndo mana[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…