Ukitoka kumi pm mtu wafanyajeTamalisa, hongera kwa kutoa ratiba nzuri, pia umetisha hasa kuanzia J6 mpaka J9.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitoka kumi pm mtu wafanyajeTamalisa, hongera kwa kutoa ratiba nzuri, pia umetisha hasa kuanzia J6 mpaka J9.
Looooooh!!! Naomba nikuoe dear!itategemea na ratiba yako zaid mkuu na ulaji wako, ila mimi nakushauri hivi.
J3. chai/maziwa + chapati 1/2 kulingana na ukubwa, mtori na chapati moja, supu, (au vyovyote upendavyo) mana inategemea je unapika au unaenda ktk mgahawa
Lunch: kula wali + mboga upendayo. Dinner: Ndizinyama + unaweza ukawa na kikombe cha chai/juice
J4: chai/maziwa + kitafunwa, supu, au mtori, au tambi + chai
Lunch: Ugali + mboga upendayo + mboga ya kijani. Dinner: Viazi nyama + mboga ya kijani - (juice, chai)
J5: Chai fuata mtiririko hapo juu + kitafunwa upendacho
Lunch: tambi zipike vizuri + maharage yaliyoungwa vizuri tamu sana hii kitu, au nyama ya kukaanga kidogo + chai/maziwa
Dinner: Pata wali/pilau (kama pilau utaweza itakaa vizuri sana) +mboga nzuri + mboga ya kijani
J6: chai as per the above.
Lunch: futali uipendayo iliyoungwa vizuri na tamu.
Dinner: Ugali + mboga nzuri + mboga ya kijani
J7: Chai amua tu plz vitafunwa ni wewe mwenyewe au supu au mtori nk.
Lunch: ndizinyama + maharage yaliyoungwa vizuri, tamu sana.
Dinner: pata pilau ya motooo kula lala.
J8: chai amua
Lunch: kama unaweza tafuta kitu simple ule, ndizi mzuzu + nyama kidogo, tambi + nyama choma, ukishindwa pata Ugali + mboga uipendayo + mboga ya kijani.
Dinner: Viazi nyama + maharage + mboga ya kijani.
J9: mtori /supu + chapati
Lunch: Makande please.
Dinner: ugali/wali/pilau.
NB: Kumpangia mtu ratiba ya msosi ni kazi nzito sana, mfano hapo ingekua mme wangu ungeinjoy maana ningepanga
hata ubloo, pia kuna baadhi ya vyakula sijaweka cozi nina wasiwasi we ni dume unaweza kuona ni kazi tu. pia
wengi tumekalili sana mchana ugali, usiku wali.
ila jitahidi usirudie chakula mara kwa mara, cha msingi jitahudi kwa wiki umekula walau vyakula vyovyote kwa
hivi vya kawaida, ukiachana na vile vya kihoteli hoteli zaidi.
wasalimie.
Habarini humu ndani,
Familia nyingi za Kitanzania tumezoea kila siku ni lazima chakula kiwe ugali mchana, jioni wali. Naomba mwenye uelewa wa chakula bora atusaidie kupata ratiba ya wiki ya mlo kamili kwa ajili ya familia zetu.
Natanguliza shukrani
Nakuona mkuu!Looooooh!!! Naomba nikuoe dear!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Rafiki nimemiss mambo ya kupaprika!!.......Leo panda hewani please!Nakuona mkuu!
Sina cha kunipandisha jamani![emoji23] [emoji23] [emoji23]Rafiki nimemiss mambo ya kupaprika!!.......Leo panda hewani please!
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Sina cha kunipandisha jamani!
na huwa napika mwenyewe
nimepapenda hapo kwenye ngararum a.k.a makukuru
Mtori umenishinda kabisa sijui kwanini!!
Pole hujakutana na mtori mtamuMtori umenishinda kabisa sijui kwanini!!
Nakushauri usiku usipende kula chskula kizito kama ugali.ni marufuku labda kams unafanya kazi ngumu sana.pendelea kula matunda na mboga mboga au kama unakula hicho chakula kizito,basi jitahidi ule kabla ya saa moja ili ukienda kulala usiwe umeshiba.asante
Atasinziaje kazini wakati hana kazi??Kwa kweli, Ugali ulinishinda kula mchana lazima nisinzie. Hapo ukute mtu kapiga breakfast kitu chapati mchuzi au mtori. Halafu mchana ugali, sijui wanaweza vipi ku survive siku nzima kazini bila kusinzia.
Atasinziaje kazini wakati hana kazi??
Aah! Barida nduguNimeongelea wafanyakazi mwanajamii, sijui kama kazi zinafanyika kweli baada ya shibe ya ugali.
Ratiba nzuri sana, asante ulieiomba na ulieijibu nimepata na mimi ratiba ya chakula home kwanguitategemea na ratiba yako zaid mkuu na ulaji wako, ila mimi nakushauri hivi.
J3. chai/maziwa + chapati 1/2 kulingana na ukubwa, mtori na chapati moja, supu, (au vyovyote upendavyo) mana inategemea je unapika au unaenda ktk mgahawa
Lunch: kula wali + mboga upendayo. Dinner: Ndizinyama + unaweza ukawa na kikombe cha chai/juice
J4: chai/maziwa + kitafunwa, supu, au mtori, au tambi + chai
Lunch: Ugali + mboga upendayo + mboga ya kijani. Dinner: Viazi nyama + mboga ya kijani - (juice, chai)
J5: Chai fuata mtiririko hapo juu + kitafunwa upendacho
Lunch: tambi zipike vizuri + maharage yaliyoungwa vizuri tamu sana hii kitu, au nyama ya kukaanga kidogo + chai/maziwa
Dinner: Pata wali/pilau (kama pilau utaweza itakaa vizuri sana) +mboga nzuri + mboga ya kijani
J6: chai as per the above.
Lunch: futali uipendayo iliyoungwa vizuri na tamu.
Dinner: Ugali + mboga nzuri + mboga ya kijani
J7: Chai amua tu plz vitafunwa ni wewe mwenyewe au supu au mtori nk.
Lunch: ndizinyama + maharage yaliyoungwa vizuri, tamu sana.
Dinner: pata pilau ya motooo kula lala.
J8: chai amua
Lunch: kama unaweza tafuta kitu simple ule, ndizi mzuzu + nyama kidogo, tambi + nyama choma, ukishindwa pata Ugali + mboga uipendayo + mboga ya kijani.
Dinner: Viazi nyama + maharage + mboga ya kijani.
J9: mtori /supu + chapati
Lunch: Makande please.
Dinner: ugali/wali/pilau.
NB: Kumpangia mtu ratiba ya msosi ni kazi nzito sana, mfano hapo ingekua mme wangu ungeinjoy maana ningepanga
hata ubloo, pia kuna baadhi ya vyakula sijaweka cozi nina wasiwasi we ni dume unaweza kuona ni kazi tu. pia
wengi tumekalili sana mchana ugali, usiku wali.
ila jitahidi usirudie chakula mara kwa mara, cha msingi jitahudi kwa wiki umekula walau vyakula vyovyote kwa
hivi vya kawaida, ukiachana na vile vya kihoteli hoteli zaidi.
wasalimie.
wabongo weng pia 2po serious ndo mana[emoji23]Chai ?menu ya kibongo Inajulikana chai
maandaz,vitumbua,chapat,mihogo /viazi vya kuchemsha,kiporo cha wali/ndizi kama MTU Yuko vizur supu mbuz,ngo'mbe,kuku kwa ndizi za kuchemsha au chapat hainaga bwembwe za kina weetabix na cornflakes ila k.ukwel inabid tujitahid angalau na vimatunda wabongo wenzangu hiyo asubuh ili kuongezea virutubisho maana b.fast kwa mbongo wa kawaid iko very serious.