Ratiba ya mechi za ligi mbalimbali duniani wikiendi hii Januari 24/25

Ratiba ya mechi za ligi mbalimbali duniani wikiendi hii Januari 24/25

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wikiendi hii, mashabiki wa soka wanatarajiwa kushuhudia burudani ya kiwango cha juu kutoka viwanja mbalimbali duniani, huku mechi kubwa zikipamba ratiba, ikiongozwa na Manchester Derby huko England pamoja na fainali ya AFCON 2025 inayosubiriwa kwa hamu kubwa barani Afrika.

EPL & CAFCL

Jumamosi:

  • Manchester City vs Wolves — saa 12:00 jioni
  • Bournemouth vs Liverpool — saa 2:30 usiku
  • Esperance Tunis vs Simba — saa 1:00 usiku
Jumapili:
  • Crystal Palace vs Chelsea — saa 11:00 jioni
  • Arsenal vs Manchester United — saa 1:30 usiku
 
Back
Top Bottom