Uchaguzi 2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

Nasikia yameitana dodoma yamekesha usiku kucha yanajadili namna ya kuiba kura za Tundu Lissu kisayansi😒😒
Tundu hana kura za kumuibia, atapata kira harali na hakuna hata moja itaibiwa, na hatapata zaidi ya milioni 2
 
Kampeni ya nini sasa.?

Upoteze hela wakati unajua kabisa utapata zaidi 20%
Basi mwambieni aendelee kulala, ulaya kwenyewe pamoja na kuwa na flyovers 1000 bado huwa wanafanya kampeni, nyie baada ya kujenga ka mfugale kamoja mnaona hana haja ya kampeni.
 
Huwa mnamuulizia wa nini'?
Akija na maneno yake makali na ile band ya wasanii na watu wamejazwa kwenye malori mnalalamika.
Ambavo sipendi hata kuwasikia...
 
CCM inafanya kampeni majini,ardhini na angani.
Usipoiona CCM juu ya majukwaa basi ajue wapo nyumba kwa nyumba.
mtaa kwa mtaa.
mtu kwa mtu.
uvungu kwa uvungu mpaka ushindi upatikane.
 
Au wanafeed kwenye system majina na namba za wapiga kura wa uongo.
 
Basi mwambieni aendelee kulala, ulaya kwenyewe pamoja na kuwa na flyovers 1000 bado huwa wanafanya kampeni, nyie baada ya kujenga ka mfugale kamoja mnaona hana haja ya kampeni.
Magufuli apoteze mamilioni kwenye kampeni ya nini sasa wakati mshindani wake atapata kura asilimia 20 tu!

Si umeona Membe alipojaribu kuingiza mguu kaona maji hana kina kirefu kaamua kukaa pembeni?

Nasikia ana mpango wa kumuachia Lisu ambae mpaka muda huu anaendelea kutapatapa huku na huko
 
EinYtTEVgAIhoeY.jpg

Eti wanasema Gari la mkaa tripu moja shamba tripu moja gereji.
 
Magufuli apoteze mamilioni kwenye kampeni ya nini sasa wakati mshindani wake atapata kura asilimia 20 tu!

Si umeona Membe alipojaribu kuingiza mguu kaona maji hana kina kirefu kaamua kukaa pembeni?

Nasikia ana mpango wa kumuachia Lisu ambae mpaka muda huu anaendelea kutapatapa huku na huko
Kama anaona kampeni ya nini gharama ya mabango nchi nzima ya nini.
 
Back
Top Bottom