Uchaguzi 2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

Uchaguzi 2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

Wooow. Sasa kama ana uhakika wa 80%, kampeni za nini. Si atulie asubiri kiapo? Maana kaanza kuahidi ambayo hayapo kwenye ilani yake
Kwani mada umeielewa?
 
Magufuli apoteze mamilioni kwenye kampeni ya nini sasa wakati mshindani wake atapata kura asilimia 20 tu!

Si umeona Membe alipojaribu kuingiza mguu kaona maji hana kina kirefu kaamua kukaa pembeni?

Nasikia ana mpango wa kumuachia Lisu ambae mpaka muda huu anaendelea kutapatapa huku na huko
IMG-20200921-WA0045.jpg
IMG-20200921-WA0009.jpg
 
Atakuwa anajaza upepo kutoka katika yale mavibuyu yake ya asili.
Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT.

Lissu yuko Geita.

View attachment 1579063
Magu katulia zake anasubiri kuapishwa washindwa wanahangaika angalau wapate 20%
Nasikia yameitana dodoma yamekesha usiku kucha yanajadili namna ya kuiba kura za Tundu Lissu kisayansi😒😒
Ina maana CCM wanafanya kampeni siku 2 kwa wiki siku 5 wanapumzika.
Mzee sauti ilikata
 
Pacemaker haijafeli?mbona hawatoi tamko kuhusu kuvimba kwa uso wa meko?au upendo wa watz umemnenepesha uso???majibu tafadhali!!!!
 
Back
Top Bottom