Uchaguzi 2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

Wooow. Sasa kama ana uhakika wa 80%, kampeni za nini. Si atulie asubiri kiapo? Maana kaanza kuahidi ambayo hayapo kwenye ilani yake
Kwani mada umeielewa?
 
 
Atakuwa anajaza upepo kutoka katika yale mavibuyu yake ya asili.
Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT.

Lissu yuko Geita.

View attachment 1579063
Magu katulia zake anasubiri kuapishwa washindwa wanahangaika angalau wapate 20%
Nasikia yameitana dodoma yamekesha usiku kucha yanajadili namna ya kuiba kura za Tundu Lissu kisayansi😒😒
Ina maana CCM wanafanya kampeni siku 2 kwa wiki siku 5 wanapumzika.
Mzee sauti ilikata
 
Pacemaker haijafeli?mbona hawatoi tamko kuhusu kuvimba kwa uso wa meko?au upendo wa watz umemnenepesha uso???majibu tafadhali!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…