Naangalia mechi ya Tabora hapa aiseee jua ni kali balaa... Kuna ulazima gani wa hii mechi kuchezwa muda huu? Leo kuna mechi 2 tu, kwa nini zote zisichezwe muda mmoja?? Hizi timu wakati mwingine zinakosa mapato kwa sababu kama hizi.
Sio tu jua hakuna pitch siipendi kama ya Tabora /Sokoine /na ule sijui ali hassan wa Arusha aisee...
Timu za daraja la kati bwana wanaumia sana kama wako jeshinj