Na mimi napenda Biashara warudi ila ni ngumu sana.BIASHARA UNITED WILL RECORVER TO THE NEXT LEVEL IN PREMIER LEAGUE 👀👀
Unaweza ukawa sawa kabisa ila wasiwasi wangu mimi siko mbali sana na utabiri wako ila kama tabora U angeanzia ugenini naamini angetoboa hao jamaa tangu championship msimu ule wanagombania kupanda game zao zilikuwa ngumu mno na zina mengi ndani yake.Utabiri wangu/
Jkt na Tabora wanaenda matuta.. Jkt anatolewa
Jkt anaifunga Biashara, Napenda sana Biashara united irudi ligi kuu lakini ni ngumu kuwafunga Jkt wakiongozwa na Shiza Kichuya
Hii ni point, lakini nao biashara imekuwa kawaida yao huwa wanaanza vizuri sana ligi ya championship lakini mwishono wanajikwaa wanaishia nafasi za kucheza playoffUnaweza ukawa sawa kabisa ila wasiwasi wangu mimi siko mbali sana na utabiri wako ila kama tabora U angeanzia ugenini naamini angetoboa hao jamaa tangu championship msimu ule wanagombania kupanda game zao zilikuwa ngumu mno na zina mengi ndani yake.
BIASHARA UNITED WAPAMBANE WAPATE USHINDI KURUDI LIGI KUU 👀👀Na mimi napenda Biashara warudi ila ni ngumu sana.
Timu za ligi kuu zinapewa milioni 50 kila mwezi, wana advantage ya maandalizi pia wanaweza tumia nguvu ya pesa kuzihujumu timu za ligi za chini...
Tabora anatolewa, afu anafanya comeback tena?Utabiri wangu/
Jkt na Tabora wanaenda matuta.. Tabora anatolewa
Biashara watashinda nyumbani, Tabora wanafanya comeback mechi ya pili wakiwa kwao.
Kuna nafasi mbili kwa timu za ligi kuu kwenye playoffTabora anatolewa, afu anafanya comeback tena?
Nimekuelewa mkuu, ila nahisi huko mbele waje wafanye tu timu za daraja la chini zipande Moja kwa mojaKuna nafasi mbili kwa timu za ligi kuu kwenye playoff
kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza.
Timu 2 za daraja la chini zimepanda moja kwa moja - Kengold ya Mbeya na Pamba ya Mwanza.Nimekuelewa mkuu, ila nahisi huko mbele waje wafanye tu timu za daraja la chini zipande Moja kwa moja
Mashujaa kuiondoa mbeya city na pia Ihefu kuiondoa mbao fcTimu za ligi daraja la kwanza kuwatoa timu za ligi kuu huwa ni nadra sana. Timu za ligi kuu zina zaidi ya 70% kurudi. Hivyo nawapa Tabora Utd na JKT nafasi za kuruadi.
Ilitokea mara moja tu kwa mashujaa kuiondoa Mbeya City.
tff kisanga,kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza.
ROUND 1
[emoji2734]Tabora United vs Jkt Tanzania - 04/06/2024
[emoji2734]JKT Tanzania vs Tabora United - 08/06/2024
ROUND 2
[emoji2734]Biashara vs alieshindwa round 1 - 12/06/2024
[emoji2734]Alieshindwa round 1 vs Biashara - 16/06/2024
mwaka jana hawakufanya hivi,Timu 2 za daraja la chini zimepanda moja kwa moja - Kengold ya Mbeya na Pamba ya Mwanza.
Timu 2 za Ligi kuu zimeshuka moja kwa moja - Mtibwa ya Morogoro na Geita Gold ya Geita
Hizi playoffs zina lengo la kuongeza ushindani ligi kuu, timu 2 za ligi kuu na moja ya ligi ya chini zinashindana kuwania nafasi mbili za kurudi / kupanda ligi kuu, timu dhaifu inashuka / kurudi ligi ya chini.
Mwaka jana ilikuaje?mwaka jana hawakufanya hivi,
usikute secretary wa tff anataka timu ya kwao (tabora utd) ibaki ndio mana kapindua sheria