Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa

1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.

2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi

3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa ya kuliona kombe ila sio kuligusa,maana tuna hofu wanaweza kuliiba

4. Baada ya hapo, kombe na shere za ubingwa zitafanyika viwanja vya Jangwani
Hapa viongozi na wachezaji na mashabiki wa RS Berkane watapata supu na vinywaji baridi
Wasanii mbalimbali watatumbuiza

5. Kombe litapelekwa Kwa Mh Rais Ikulu Magogoni
Mh Rais ana hamu ya kuona kombe
Sisi mashabiki wa RS Berkane tutalipeka kombe la CAFCC pale ikulu

6. Saa 6 mchana kombe litaenda Bunju
Mbumbumbu wenye makazi Yao Bunju nao laZima walione kombe Kwa ukarubu ila marufuku kuligusa

7 baada ya hapo, itafanyika parade kubwa na mashabiki wa RS Berkane ili kusindikiza kombe kuelekea airport na kwenda Morocco

Mbumbumbu acheni kulia
 
Nyani hawezi kufikia utimamu wa binadamu.Kocha Ayemel alikuwa sahihi.Yanga ni manyani wasio na akili timamu/mahayawani.
 
Nina uhakika mbumbumbu huwa haponi
Bora hata kwenye history binadamu alikuwa nyani ila evolution ikambadilisha

Nyani huwezi kujua mambo ya wanadamu.
 
Back
Top Bottom