Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

Hakuna mwarabu aeshobokea ngozi nyeusi Bali ngozi nyeusi kama wewe ulieleta uzi ndio kazi yenu Shoboo 😄
 
RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa

1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.

2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi

3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa ya kuliona kombe ila sio kuligusa,maana tuna hofu wanaweza kuliiba

4. Baada ya hapo, kombe na shere za ubingwa zitafanyika viwanja vya Jangwani
Hapa viongozi na wachezaji na mashabiki wa RS Berkane watapata supu na vinywaji baridi
Wasanii mbalimbali watatumbuiza

5. Kombe litapelekwa Kwa Mh Rais Ikulu Magogoni
Mh Rais ana hamu ya kuona kombe
Sisi mashabiki wa RS Berkane tutalipeka kombe la CAFCC pale ikulu

6. Saa 6 mchana kombe litaenda Bunju
Mbumbumbu wenye makazi Yao Bunju nao laZima walione kombe Kwa ukarubu ila marufuku kuligusa

7 baada ya hapo, itafanyika parade kubwa na mashabiki wa RS Berkane ili kusindikiza kombe kuelekea airport na kwenda Morocco

Mbumbumbu acheni kulia
Nitawapokea msimbazi,ila msiingie chocho baada ya mambo kwenda mrama tu?
 
Fist half 2

Sec half 2

FT
Simba 4-0 Berkane

Baada ya kukabidhiwa ubingwa tutakua na tafrija karibuni sana utopolo vyuraz
 
Kesho supu pale Jangwani 😅😂
 
Back
Top Bottom