๐คฃ๐๐๐ akijibu alitajwa nitag.Ile siku Haji Manara anataja wale watu wawili jina lako lilitajwa?
Kwa hilo hata mimi ni mgonjwa wa akili na kesho nitahudhuria paredi la ubingwa wa RS BERKANE.Ukishakuwa shabiki wa simba na Yanga ni lazima uwe na matatizo ya akili
Nyani hawezi kufikia utimamu wa binadamu.Kocha Ayemel alikuwa sahihi.Yanga ni manyani wasio na akili timamu/mahayawani.RS Berkane ana uhakika asilimia ๐ฏ kuchukua ubingwa
1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania.
2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi
3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa ya kuliona kombe ila sio kuligusa,maana tuna hofu wanaweza kuliiba
4. Baada ya hapo, kombe na shere za ubingwa zitafanyika viwanja vya Jangwani
Hapa viongozi na wachezaji na mashabiki wa RS Berkane watapata supu na vinywaji baridi
Wasanii mbalimbali watatumbuiza
5. Kombe litapelekwa Kwa Mh Rais Ikulu Magogoni
Mh Rais ana hamu ya kuona kombe
Sisi mashabiki wa RS Berkane tutalipeka kombe la CAFCC pale ikulu
6. Saa 6 mchana kombe litaenda Bunju
Mbumbumbu wenye makazi Yao Bunju nao laZima walione kombe Kwa ukarubu ila marufuku kuligusa
7 baada ya hapo, itafanyika parade kubwa na mashabiki wa RS Berkane ili kusindikiza kombe kuelekea airport na kwenda Morocco
Mbumbumbu acheni kulia
Ndio ww n mgonjwa Wa akili, n bc tuu hayajakupanda kichwani vzrKwa hilo hata mimi ni mgonjwa wa akili na kesho nitahudhuria paredi la ubingwa wa RS BERKANE.
Umbumbu una kikomo.Unyani ni wa maisha.๐๐ Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Kusingekuwa na matibabu.Hakuna tiba ya nyani awe binadamu.Lini mbumbumbu (taahira) alipona uchizi wao
Nina uhakika mbumbumbu huwa haponi
Bora hata kwenye history binadamu alikuwa nyani ila evolution ikambadilisha
Nina uhakika mbumbumbu huwa haponi
Bora hata kwenye history binadamu alikuwa nyani ila evolution ikambadilisha
Nyani huwezi kujua mambo ya wanadamu.Nina uhakika mbumbumbu huwa haponi
Bora hata kwenye history binadamu alikuwa nyani ila evolution ikambadilisha
Nyani unarukaruka tawi hadi tawi.Mbumbumbu hajui lolote
Ndo maana mkaletewa Manzoki kwenye mkutano mkuu