Ratiba ya Uchaguzi CHADEMA itatolewa lini? Hatutegemei Mzee Mtei apendekeze jina la Mwenyekiti

CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Ccm waliogombea uenyekiti walikuwa wangapi?
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Unakuhusu vipi? CCM waliwahi kufanya lini uchaguzi Baba. Mimi naonaga wanateuana hasa kwa vigezo vya PhD na sifa za michongo.
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Imagine huyu ni mboga mboga toka Lumumba anawapangia wapinzani namna kufanya chaguz zao 🤣🤣🤣
 
Chama
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Chama cha familia hakina uchaguzi kwa nafasi ya mwenyekiti.
Mwenyekiti atatoka kwenye familia tu.
 
Hivi nyie wachaga mbona hamtaki kukosolewa? CHADEMA inaendeshwa kwa Kodi zetu ni lazima mtoe majibu sahihi. KENGE
Mimi ni msukuma na wala sio mchaga, lakini ukweli ndio huo kila mtu afanyege mambo yake ya kwetu ayawahusu.
Kenge.
Babu yako[emoji849]
 
Bwashee, mwenyekiti angekuwa Molel, Silinde, Katambi, Waitara, Juakali, Nasari na mzee Mdee na wenzake, CDM ingekuwa kama TLP,
Hata wewe usingekuwa unaandika mada zake humu jamvini,
Wanahitajika viongozi wenye msimamo, si wenye njaa,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Yeah na itaendelea ivyo mpaka itakapo chukua madaraka na kufanya mabadiliko ya kweli.
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Well said, bt katiba yao inasema nini kuhusu hilo unaloliongea hapa? Je mda wa uchaguzi tayari au bado? Husiwe unatuletea chuki na wivu zako hapa dhidi ya CHADEMA

Kusema ukweli kipindi cha mwenda zake binafsi nilikupuuzia, nilikuona kama kijana/mzee asiye jielewa kuna baadhi za post zako humu sikuzipenda kabisa

Hukuwai kuwa gt ambaye anaweza kusaidia taifa kujikwamua kutoka katika mikono ya wachache walio jimilikisha powers ndani ya nchi hii, so tunahitaji mada zenye kutatua au kuongelea changamoto za mtanzania

Ili kama vijana wasomi ndani ya nchi, tuyajadili kwa pamoja ili tusaidie serikali yetu namna ya kusolve changamoto hizo ok, huu siyo mda wa mipasho na mapambio yasiyo kuwa na tija kwa taifa.
 
Utahangaika sana rafiki, hatoki mtu pale unapopafikiria
Huyo nadhani tumchangie $1500 ili akapewe PhD ya mchongo zile za ccm ili naye aitwe Dr johnthebaptist kama mtaalamu wa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Chadema na zinawapa raha sana idadi kubwa ya mazuzu kutoka ccm.
Hiki ni kipaji cha aina yake ambacho ni mazuzu wachache wamekifikia.
 
Mpuuzi sana huyu na linafurahi kuona tunakeleka na nyuzi zake, saivi dawa yake ni kuzipita kimya.
 
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi.

Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari.

Igeni CCM ambako ni marufuku ndugu kubebana.

Wednesday, ubarikiwe sana!
Unapouliza mambo ya ndani ya chama chochote ni vizuri ukaweka namba yako ya uanachama vinginevyo ni mmbeya wa Buza.
 
Huyo nadhani tumchangie $1500 ili akapewe PhD ya mchongo zile za ccm ili naye aitwe Dr johnthebaptist kama mtaalamu wa kuandika thread za kipuuzi kuhusu Chadema na zinawapa raha sana idadi kubwa ya mazuzu kutoka ccm.
Hiki ni kipaji cha aina yake ambacho ni mazuzu wachache wamekifikia.
Vyama vya Upinzani wa Mchongo
 
Back
Top Bottom